carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Gentleman,Twaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao.
Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na taarifa za baadhi ya wanaharakati, viongozi wa CHADEMA, wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi zilipatikana kwa Pambalu. Taarifa hizo muhimu ni pamoja na namba zao za simu na sehemu au mahali wanakoishi.
Inaelezwa kuwa siku aliyotekwa Mwaipaya kule Kenya alikuwa ameita 'taxi' (Bolt kwa Tanzania) kwa kutumia simu yake. Watekaji walifanikiwa kuifuatilia gari ile kwa njia ya kuifuatilia simu ya Twaha. Kwa ufupi, Twaha's mobile number was being tracked by his abductors! Watekaji wa Twaha walimfuatilia kwa kutumia simu.
Kwa sababu hiyo, ni muono wetu kuwa taarifa za Twaha ambazo watekaji walizitumia kule Nairobi, zilitoka kwa maafisa wa Jeshi la Polisi waliomhoji John Pambalu akiwa chini ya ulinzi Tanzania kabla hajafunguliwa kesi ya uhaini.
Tunashawishika kuhitimisha ya kuwa maofisa wa usalama waliomhoji John Pambalu, Jeshi la Polisi Tanzania na Serikali ya Tanzania kwa ujumla wanahusika na utekaji wa Mhe. Twaha Mwaipaya kule Nairobi, Kenya. Uthibitisho wa jambo hilo ni jinsi ambavyo media za Tanzania (za Serikali na zilizo karibu) na Serikali au CCM zilivyojitahidi kuzifukia taarifa za kutekwa kwa Twaha kwa kutotangaza habari hizo pamoja na kuibua picha za Dkt. Nchimbi wakidai ya kuwa alionekana Dubai. Lengo lao lilikuwa ni kutaka kuhamisha mawazo na akili za Watanzania ili waache kujadili kuhusu kutekwa kwa Twaha.
Hivyo, pamoja na kuibana Serikali ya Kenya juu ya kutekwa na kupotea kwa Twaha Mwaipaya akiwa katika ardhi ya Kenya, inafaa pia jumuiya ya kimataifa iihoji Serikali ya Tanzania kuhusu taarita za Twaha Mwaipaya ikiwemo simu yake na mahali anapoishi. Lakini ni kwa nini Twaha Mwaipaya atekwe na kupotezwa muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kupata taarifa za Twaha Mwaipaya kupitia kwa John Pambalu wakati wanamhoji akiwa chini ya ulinzi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Oktoba 2026; Saa 2:42 asubuhi
Nitashangaa kama kuna mtu ataitoa hii serikali iliyodhamiria kuwaangamiza wakosoaji wake wote kutokea Tanganyika.Kila mwenye akili timamu anajua Mwaipaya ametekwa na sirikali sikivu ya mama!.
Mwaipaya sio wa kwanza kufanyiwa hivyo tofauti ni kwamba kwa yeye hilo limefanyika nje ya mipaka ya Tz.
Kwa kifupi huyu mama katuharibia sana Tanganyika yetu!
Kemea hayo mautekaji hata mara moja.Gentleman,
ukiachilia mbali porojo zote hizi ulizoandika hapo,
kibinafsi kilicho nishangaza zaidi kuhusu hiyo drama ni kwamba, imeripotiwa na mtu alioko uhamishoni Ubeligiji, na hakuna taarifa zozote za hiyo drama zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama katika eneo la Machakosi ambako tukio limetokea nchini Kenya
huu ni uthibitisho kwamba hiyo ni scripted political drama ya maria sarung kumtafutia Twaha sababu ya kupata kibali cha kwenda kuishi uhamishoni, baada ya twaha mwenyewe kukataa kata kata kurudi kwao Tanzania kwasababu zake binafsi ikiwa ni pamoja na kutukana waTanzania bila sababu, kuchochea na kushiriki ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025.
Twaha anajishtukia na kujihisi kama vile hana ndugu tena Tanzania, ispokua ana maadui watupu ndio maana anaishi kama digidigi huko Kenya.
Utekaji gani unaripotiwa FB, X,IG, JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii na kwenye mamlaka za kiusalama katika eneo husika hakujaripotiwa chochote? Kwanini wanasita kuripoti kwenye mamlaka za kiusalama kama si drama ya mchongo hiyo?🐒
siwezi kubabaika na porojo za drama useless kama hizo gentleman plz be serious kidogo 🐒Kemea hayo mautekaji hata mara moja.
Huna utu kabisa hata kidogo. Wewe na serikali yenu hamuna hamu hata wa kushika maiki kukemea utekaji wa raia, ni kwa sababu munanufaika na mfumo huo.
Wewe endelea kufurahia damu za watu kumwagika na kupotezwa kwa watu.siwezi kubabaika na porojo za drama useless kama hizo gentleman plz be serious kidogo 🐒
siwezi kufurahia wala kusikitikia hizo porojo na upotoshaji kuhusu scripted political drama's gentleman 🐒Wewe endelea kufurahia damu za watu kumwagika na kupotezwa kwa watu.
Miaka ya mbeleni utakuwa upande wa wasio neemeka nawe utalalama vilevile. Mungu aepushie mbali.
Kama alikuwa tracked maana yake ni Kwa msaada wa RUTOTwaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao.
Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na taarifa za baadhi ya wanaharakati, viongozi wa CHADEMA, wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi zilipatikana kwa Pambalu. Taarifa hizo muhimu ni pamoja na namba zao za simu na sehemu au mahali wanakoishi.
Inaelezwa kuwa siku aliyotekwa Mwaipaya kule Kenya alikuwa ameita 'taxi' (Bolt kwa Tanzania) kwa kutumia simu yake. Watekaji walifanikiwa kuifuatilia gari ile kwa njia ya kuifuatilia simu ya Twaha. Kwa ufupi, Twaha's mobile number was being tracked by his abductors! Watekaji wa Twaha walimfuatilia kwa kutumia simu.
Kwa sababu hiyo, ni muono wetu kuwa taarifa za Twaha ambazo watekaji walizitumia kule Nairobi, zilitoka kwa maafisa wa Jeshi la Polisi waliomhoji John Pambalu akiwa chini ya ulinzi Tanzania kabla hajafunguliwa kesi ya uhaini.
Tunashawishika kuhitimisha ya kuwa maofisa wa usalama waliomhoji John Pambalu, Jeshi la Polisi Tanzania na Serikali ya Tanzania kwa ujumla wanahusika na utekaji wa Mhe. Twaha Mwaipaya kule Nairobi, Kenya. Uthibitisho wa jambo hilo ni jinsi ambavyo media za Tanzania (za Serikali na zilizo karibu) na Serikali au CCM zilivyojitahidi kuzifukia taarifa za kutekwa kwa Twaha kwa kutotangaza habari hizo pamoja na kuibua picha za Dkt. Nchimbi wakidai ya kuwa alionekana Dubai. Lengo lao lilikuwa ni kutaka kuhamisha mawazo na akili za Watanzania ili waache kujadili kuhusu kutekwa kwa Twaha.
Hivyo, pamoja na kuibana Serikali ya Kenya juu ya kutekwa na kupotea kwa Twaha Mwaipaya akiwa katika ardhi ya Kenya, inafaa pia jumuiya ya kimataifa iihoji Serikali ya Tanzania kuhusu taarita za Twaha Mwaipaya ikiwemo simu yake na mahali anapoishi. Lakini ni kwa nini Twaha Mwaipaya atekwe na kupotezwa muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kupata taarifa za Twaha Mwaipaya kupitia kwa John Pambalu wakati wanamhoji akiwa chini ya ulinzi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Oktoba 2026; Saa 2:42 asubuhi
wakati anawaambia watu wakachome nyumba na ofisi za ccm kuna sehemu yoyote mliandika kumkanya?Twaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao.
Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na taarifa za baadhi ya wanaharakati, viongozi wa CHADEMA, wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi zilipatikana kwa Pambalu. Taarifa hizo muhimu ni pamoja na namba zao za simu na sehemu au mahali wanakoishi.
Inaelezwa kuwa siku aliyotekwa Mwaipaya kule Kenya alikuwa ameita 'taxi' (Bolt kwa Tanzania) kwa kutumia simu yake. Watekaji walifanikiwa kuifuatilia gari ile kwa njia ya kuifuatilia simu ya Twaha. Kwa ufupi, Twaha's mobile number was being tracked by his abductors! Watekaji wa Twaha walimfuatilia kwa kutumia simu.
Kwa sababu hiyo, ni muono wetu kuwa taarifa za Twaha ambazo watekaji walizitumia kule Nairobi, zilitoka kwa maafisa wa Jeshi la Polisi waliomhoji John Pambalu akiwa chini ya ulinzi Tanzania kabla hajafunguliwa kesi ya uhaini.
Tunashawishika kuhitimisha ya kuwa maofisa wa usalama waliomhoji John Pambalu, Jeshi la Polisi Tanzania na Serikali ya Tanzania kwa ujumla wanahusika na utekaji wa Mhe. Twaha Mwaipaya kule Nairobi, Kenya. Uthibitisho wa jambo hilo ni jinsi ambavyo media za Tanzania (za Serikali na zilizo karibu) na Serikali au CCM zilivyojitahidi kuzifukia taarifa za kutekwa kwa Twaha kwa kutotangaza habari hizo pamoja na kuibua picha za Dkt. Nchimbi wakidai ya kuwa alionekana Dubai. Lengo lao lilikuwa ni kutaka kuhamisha mawazo na akili za Watanzania ili waache kujadili kuhusu kutekwa kwa Twaha.
Hivyo, pamoja na kuibana Serikali ya Kenya juu ya kutekwa na kupotea kwa Twaha Mwaipaya akiwa katika ardhi ya Kenya, inafaa pia jumuiya ya kimataifa iihoji Serikali ya Tanzania kuhusu taarita za Twaha Mwaipaya ikiwemo simu yake na mahali anapoishi. Lakini ni kwa nini Twaha Mwaipaya atekwe na kupotezwa muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kupata taarifa za Twaha Mwaipaya kupitia kwa John Pambalu wakati wanamhoji akiwa chini ya ulinzi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Oktoba 2026; Saa 2:42 asubuhi
mpaka mkiupata ukweli twaha atakuwa ameshaoza.Kama alikuwa tracked maana yake ni Kwa msaada wa RUTO
Huwez tumia mawasliano ya nchi nyingine bila wao kukupa access
Ni sawa tu maana hakuna atakayeishi Milele humu duniani! Ila nakuapia kuwa ukiua Kwa upanga utakuwa Kwa upanga! Ni suala la muda tumpaka mkiupata ukweli twaha atakuwa ameshaoza.
hizo ndoto ndio maana mnafikia kusingizia watu wamekufa sijui wamepooza viungo sijui nn, twaha kama hakuwa na hatia kenya alifata nn? kama hakuwa na hatia kwann alijificha kenya, alipowaambia mkachome nyumba za ccm na ofisi za ccm alikuwa sahihi kwako, kama hakuwa sahihi wapi mlimkanya?Ni sawa tu maana hakuna atakayeishi Milele humu duniani! Ila nakuapia kuwa ukiua Kwa upanga utakuwa Kwa upanga! Ni suala la muda tu
Uchawa uchawa kila sehemu, ila kama inawalipa kila la heriwakati anawaambia watu wakachome nyumba na ofisi za ccm kuna sehemu yoyote mliandika kumkanya?
watu wako bize na harakati zao za kutafuta mahitaji ya siku mfano nenda kariakoo, tandika, mbezi na mwenge utajua kuwa watu wapo bize na mishe zao, nyie msio na kazi ndio mpo bize kupiga kelele za twaha muda sio mrefu mtaacha maana wengine spidi zimeanza kupungua.
Balozi anasema alikuwa hajui kama twaha yupo kenya kama aliingia kihuni kazi mnayo.
alipojificha mlimuona shujaa kapotea mnahangaika na samia, how?
Kuna kitu hujaelewa hapa! Dunia hii hauwezi kuwatuliza watu kwa kutumia mabvu ili uendelee kula Raha! Askari jela naye ni kama mfungwa tu maana maisha yake naye jela huko hukohizo ndoto ndio maana mnafikia kusingizia watu wamekufa sijui wamepooza viungo sijui nn, twaha kama hakuwa na hatia kenya alifata nn? kama hakuwa na hatia kwann alijificha kenya, alipowaambia mkachome nyumba za ccm na ofisi za ccm alikuwa sahihi kwako, kama hakuwa sahihi wapi mlimkanya?
mkiishiwa hoja mnakimbilia uchawa.Uchawa uchawa kila sehemu, ila kama inawalipa kila la heri
wala hakuna anayetawaliwa kimabavu, wapi kunatawaliwa kimabavu?Kuna kitu hujaelewa hapa! Dunia hii hauwezi kuwatuliza watu kwa kutumia mabvu ili uendelee kula Raha! Askari jela naye ni kama mfungwa tu maana maisha yake naye jela huko huko
Bado nakukumbusha hata uuwe wangapi! Bado watu wataibuka tu Dunia ni mikikimikiki!
Labda kama wewe ni mzanzibari! Ila wenye D mbili tunajua mama analipiza aliyoyafanya mkapa zanzibar 2001