Walikimbilia Kenya baada ya kujua wameuwa watu kwa kuhamasisha maandamano sasa lazima wafikiwe tuTwaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao.
Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na taarifa za baadhi ya wanaharakati, viongozi wa CHADEMA, wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi zilipatikana kwa Pambalu. Taarifa hizo muhimu ni pamoja na namba zao za simu na sehemu au mahali wanakoishi.
Inaelezwa kuwa siku aliyotekwa Mwaipaya kule Kenya alikuwa ameita 'taxi' (Bolt kwa Tanzania) kwa kutumia simu yake. Watekaji walifanikiwa kuifuatilia gari ile kwa njia ya kuifuatilia simu ya Twaha. Kwa ufupi, Twaha's mobile number was being tracked by his abductors! Watekaji wa Twaha walimfuatilia kwa kutumia simu.
Kwa sababu hiyo, ni muono wetu kuwa taarifa za Twaha ambazo watekaji walizitumia kule Nairobi, zilitoka kwa maafisa wa Jeshi la Polisi waliomhoji John Pambalu akiwa chini ya ulinzi Tanzania kabla hajafunguliwa kesi ya uhaini.
Tunashawishika kuhitimisha ya kuwa maofisa wa usalama waliomhoji John Pambalu, Jeshi la Polisi Tanzania na Serikali ya Tanzania kwa ujumla wanahusika na utekaji wa Mhe. Twaha Mwaipaya kule Nairobi, Kenya. Uthibitisho wa jambo hilo ni jinsi ambavyo media za Tanzania (za Serikali na zilizo karibu) na Serikali au CCM zilivyojitahidi kuzifukia taarifa za kutekwa kwa Twaha kwa kutotangaza habari hizo pamoja na kuibua picha za Dkt. Nchimbi wakidai ya kuwa alionekana Dubai. Lengo lao lilikuwa ni kutaka kuhamisha mawazo na akili za Watanzania ili waache kujadili kuhusu kutekwa kwa Twaha.
Hivyo, pamoja na kuibana Serikali ya Kenya juu ya kutekwa na kupotea kwa Twaha Mwaipaya akiwa katika ardhi ya Kenya, inafaa pia jumuiya ya kimataifa iihoji Serikali ya Tanzania kuhusu taarita za Twaha Mwaipaya ikiwemo simu yake na mahali anapoishi. Lakini ni kwa nini Twaha Mwaipaya atekwe na kupotezwa muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kupata taarifa za Twaha Mwaipaya kupitia kwa John Pambalu wakati wanamhoji akiwa chini ya ulinzi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Oktoba 2026; Saa 2:42 asubuhi
Omba sana huo uchawa iwe ajira yako ya kudumuWalikimbilia Kenya baada ya kujua wameuwa watu kwa kuhamasisha maandamano sasa lazima wafikiwe tu
USSR
Kwanini tuiulize GOT kwa kutekwa Mwaipaya na sio Serikali ya Kenya alipokuwa akiishi uhamishoni.
GOT inachoweza kufanya ni kwa Balozi na Waziri wa mambo ya nje kuiuliza Serikali ya Kenya kutoa majibu alipo Mwaipaya.
Kama watekaji wamefanya kazi yao vizuri bila kuacha alama maana yake hata Serikali ya Kenya itaishia kufanya uchunguzi bila kupata majibu.
Kifupi huwezi kukimbia na ukatafutwa ukaenda kujificha Kenya ukasema uko salama labda wengi wenu hamuijua Kenya vizuri...Tanzania ni salama mara 100 kuliko Kenya.
Inawezekana wengi wenu hamjui ukubwa wa vita mliyochagua na pia hamjui ukubwa wa adui mnayepambana naye lakini pia hamjui mnachokipigania.
safarini Hodeidah port - Yemeni
Haya maneno ya Porojo huwa mnayatoa wap?Ni sawa tu maana hakuna atakayeishi Milele humu duniani! Ila nakuapia kuwa ukiua Kwa upanga utakuwa Kwa upanga! Ni suala la muda tu
Walikimbilia Kenya baada ya kujua wameuwa watu kwa kuhamasisha maandamano sasa lazima wafikiwe tu
USSR
Same ol gibberish from a corny ass.siwezi kufurahia wala kusikitikia hizo porojo na upotoshaji kuhusu scripted political drama's gentleman 🐒
Gentleman,Same ol gibberish from as corny ass.
I deem those insults not to be useless.Gentleman,
cut out the useless insults on the forum, i think it would be much better.
just stay quiet if you don't have a valid point.
okay,I deem those insults not to be useless.
I’m not gonna stay quiet. Who are your?
JingaGentleman,
ukiachilia mbali porojo zote hizi ulizoandika hapo,
kibinafsi kilicho nishangaza zaidi kuhusu hiyo drama ni kwamba, imeripotiwa na mtu alioko uhamishoni Ubeligiji, na hakuna taarifa zozote za hiyo drama zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama katika eneo la Machakosi ambako tukio limetokea nchini Kenya
huu ni uthibitisho kwamba hiyo ni scripted political drama ya maria sarung kumtafutia Twaha sababu ya kupata kibali cha kwenda kuishi uhamishoni, baada ya twaha mwenyewe kukataa kata kata kurudi kwao Tanzania kwasababu zake binafsi ikiwa ni pamoja na kutukana waTanzania bila sababu, kuchochea na kushiriki ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025.
Twaha anajishtukia na kujihisi kama vile hana ndugu tena Tanzania, ispokua ana maadui watupu ndio maana anaishi kama digidigi huko Kenya.
Utekaji gani unaripotiwa FB, X,IG, JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii na kwenye mamlaka za kiusalama katika eneo husika hakujaripotiwa chochote? Kwanini wanasita kuripoti kwenye mamlaka za kiusalama kama si drama ya mchongo hiyo?🐒
ok. MwerevuJinga
gibberishokay,
continue then with your nonsense insults and useless comments but plz respect esteemed JF members 🐒
Kwa taarifa hii maana yake, Polisi na usalama wa Kenya kwa ujumla ni dhaifu sana hadi vijana wetu shupavu wakaingia nchini humo wakamteka mtu na wakaondoka huku Wakenya wamelala tu! Hongera sana kwa vijana wetu!!Twaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao.
Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na taarifa za baadhi ya wanaharakati, viongozi wa CHADEMA, wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi zilipatikana kwa Pambalu. Taarifa hizo muhimu ni pamoja na namba zao za simu na sehemu au mahali wanakoishi.
Inaelezwa kuwa siku aliyotekwa Mwaipaya kule Kenya alikuwa ameita 'taxi' (Bolt kwa Tanzania) kwa kutumia simu yake. Watekaji walifanikiwa kuifuatilia gari ile kwa njia ya kuifuatilia simu ya Twaha. Kwa ufupi, Twaha's mobile number was being tracked by his abductors! Watekaji wa Twaha walimfuatilia kwa kutumia simu.
Kwa sababu hiyo, ni muono wetu kuwa taarifa za Twaha ambazo watekaji walizitumia kule Nairobi, zilitoka kwa maafisa wa Jeshi la Polisi waliomhoji John Pambalu akiwa chini ya ulinzi Tanzania kabla hajafunguliwa kesi ya uhaini.
Tunashawishika kuhitimisha ya kuwa maofisa wa usalama waliomhoji John Pambalu, Jeshi la Polisi Tanzania na Serikali ya Tanzania kwa ujumla wanahusika na utekaji wa Mhe. Twaha Mwaipaya kule Nairobi, Kenya. Uthibitisho wa jambo hilo ni jinsi ambavyo media za Tanzania (za Serikali na zilizo karibu) na Serikali au CCM zilivyojitahidi kuzifukia taarifa za kutekwa kwa Twaha kwa kutotangaza habari hizo pamoja na kuibua picha za Dkt. Nchimbi wakidai ya kuwa alionekana Dubai. Lengo lao lilikuwa ni kutaka kuhamisha mawazo na akili za Watanzania ili waache kujadili kuhusu kutekwa kwa Twaha.
Hivyo, pamoja na kuibana Serikali ya Kenya juu ya kutekwa na kupotea kwa Twaha Mwaipaya akiwa katika ardhi ya Kenya, inafaa pia jumuiya ya kimataifa iihoji Serikali ya Tanzania kuhusu taarita za Twaha Mwaipaya ikiwemo simu yake na mahali anapoishi. Lakini ni kwa nini Twaha Mwaipaya atekwe na kupotezwa muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kupata taarifa za Twaha Mwaipaya kupitia kwa John Pambalu wakati wanamhoji akiwa chini ya ulinzi?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Oktoba 2026; Saa 2:42 asubuhi
alkhbizalkhamal🐒gibberish
F.uck off with your gibberish.alkhbizalkhamal🐒