Jinsi Twaha Mwaipaya alivyotekwa nje ya Nairobi, Kenya

"You think it's the end, but it's just a beginning" by Bob Marley
 
wachungaji pamoja na maaskofu walioikimbia nchi
Aisee
Wachungaji na maaskofu wanafanya nini kwenye siasa kama sio tunavyosema fujo zilichochowa na hawa?
Miaka ya kina Ponda kuhoji CCM waliitwa magaidi na hawa hawa maaskofu
Halafu leo hii wanataka kusapotiwa na wananchi
Na sisi tunaiuta huu ni udini ndio maana yaliyotokea yalipaswa ili kuwa fundisho kwa wengine
 
Kila mwenye akili timamu anajua Mwaipaya ametekwa na sirikali sikivu ya mama!.
Mwaipaya sio wa kwanza kufanyiwa hivyo tofauti ni kwamba kwa yeye hilo limefanyika nje ya mipaka ya Tz.
Kwa kifupi huyu mama katuharibia sana Tanganyika yetu!
Atatuharibia, ametuharibia anatuharibia yote ni sawa.
 
fukuzeni Lema aliyemhakikishia usalama pambalu

Chadema mwenye akili ni Lisu tu pambalu anahakikishiwa usalama na Lema nayeye anarudi

Harafu kumbe mtoto wamama ,anabanwa kende kidogo anataja yoooote ya wezake
 
Shida ni kwamba watu hawataki kujifunza kabisa.

Wewe unajua vizuri kabisa kwamba una uhasama na serikali kama hii halafu unakimbia kwenda kutafuta hifadhi kwenye nchi jirani, una akili kweli...!!!!

Tofauti yako na anayejificha kwenye shamba la karanga ni nini.?

Angalia Besigye wa Uganda alitekewa hapohapo Kenya na kurejeshwa Uganda kwa msaada wa vyombo vya usalama vya Kenya na hadi leo anapambana na kesi feki ya uhaini kama Lissu.

Nawashauri wanaharakati wote wa Tanzania walioko Kenya waondoke mara moja na kutafuta hifadhi kwenye nchi za magharibi la sivyo watamalizwa wote.

Hii serikali iko radhi kutumia pesa yoyote hata kama ni kuweka rehani mlima Kilimanjaro au Ngorongoro Crater ili wapate pesa za kutumia kuwamaliza wanaharakati wote waliopo kwenye mataifa jirani.

Shauri zao kama hawatasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…