wacha waendelee kuficha tuu. kila nyani na mapozi yake
Mjadala: Kwanini Tanzania haipendi kutangaza milipuko ya magonjwa makubwa hadi waone shirika la afya duniani litoe tamko? - JamiiForums
Sorrry meant Maracana.
122 with 4 deaths vs 20 with 1 death.
Hapo unaelewa nini?. Ni mtu mpumbavu pekee ambaye anaweza kuendeleza ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
126 vs 20. Tunasubiri kesho igonge 135.Watatuletea balaa sana hawa, kwao wamegoma kuchukua tahadhari, halafu nchi yote wanategemea maabara moja tu, hivyo hata kupima kwenyewe wanafanya tu ili wafanye lakini hawachukulii serious, bado wanasongamana kwenye madaladala na kila sehemu, halafu hawataki kutulia kwao, kwa njaa zao wanang'ang'ania kuja huku.
Venezuela
Aisee inasikitisha majirani wanapata wivu kwa vile maambukizi ya coronavirus yako chini Tanzania! Mi nawashauri wajaribu kuizuia isiingie slums maana tunachoona sasa kitazidi maradufu itakapokatiza kule kusipo na maji!
Nani aje kufa huko?
Tuonyeshe impact yao kwenye maambukizi mkuuNdugu zako waganga njaa, wameshindwa kuvumilia wiki hizi mbili huko kwenu.....wanatuponza maana nyie testing zimewashinda hamfanyi kwa kasi, sasa mkiachia achia ndugu zenu kwa njaa zao kuruka ruka huku na kule mtattutia kwenye matatizo.
Tuonyeshe impact yao kwenye maambukizi mkuu
Sawa braza nimekuelewa.. Ila unavyotushusha kana kwamba watz ni njaa njaa tunawategemea ninyi ili tuishi... I'm sure bado kuna wakenya wanavuka kuja tz kwa sasa ikichangiwa pia na hali ya covid baina ya haya mataifa mawili.... Hapa cha kufanya ni kuhakikisha hakuna movement yoyote baina ya haya mataifa mawili na pande zote mbili zitekeleze hili ipasavyo... Kutupiana mpira hivi sijui ikiletwa case humu ya ninyi kuvuka boda itakuwaje.Sasa hivi hiki kirusi hakuna anayejua kichwa chake wala mkia, kimeshtukiza dunia na kusababisha mataifa yote kufanya kitu ambacho hakijawahi kufanyika kwenye historia ya dunia hii, hivyo ukiambiwa kaa kwako, basi tulia vumilia mpaka tuelewe upepo wa hiki kitu. Kimetukosa kosa Afrika, bado hatujui kama kiliandaliwa kwenye maabara kwa ajili ya wazungu au kiliibuka chenyewe.
Hadi sasa hakuna anaye taarifa za jinsi gani Afrika hatujanasa vizuri, aidha kinatokota ndani yetu kikisubri kutufuta duniani au nini nyuma ya pazia, hivyo watu waache kiherehere, baki ndani kwako, binafsi hapa nina kamradi nimeagizwa kwenda kutia saini mkataba kule Ethiopia, ila nimegoma siendi hata kwa dawa, nazihitaji sana hizo hela zao lakini kwa sasa bora niziskie tu lakini sitasafiri.
Sawa braza nimekuelewa.. Ila unavyotushusha kana kwamba watz ni njaa njaa tunawategemea ninyi ili tuishi... I'm sure bado kuna wakenya wanavuka kuja tz kwa sasa ikichangiwa pia na hali ya covid baina ya haya mataifa mawili.... Hapa cha kufanya ni kuhakikisha hakuna movement yoyote baina ya haya mataifa mawili na pande zote mbili zitekeleze hili ipasavyo... Kutupiana mpira hivi sijui ikiletwa case humu ya ninyi kuvuka boda itakuwaje.
Sawa mkuu,ila ninavyojua ukifunga mipaka umefunga kweli;hakuna kuingia hakuna kutoka.., unavyosema ninyi kuingia huku ni ruksa basi mmeifunga kimajina tu na si ajabu kuna wanaoingia huko bila kuwa noticed... Najua ikifika point hii ngoma imewazidia utaanza kuilaumu pia tz, lakn nikwambie tu sie hatuna impact yoyote hapo... ungewashauri pia wenzio wasiotekeleza amri ya kufunga mipaka kwa kuja huku waache;ningekuona wa maana zaidi... Tofauti na hapo hiyo amri ya mpakani mnaivunja wenyewe... Halafu sisi hatujalala usingizi kihivyo kwenye hili janga kama unavyojaribu kuaminisha umma.... Kuna measures mtafanana nchi na nchi ila kuna zingine mtatofautiana.Nyie kwenu hamjafunga mpaka, hivyo Mkenya anayekuja huko hana haja ya kujificha, mkifunga na itokee kunao wanaokuja kinyemela kama wanavyofanya ndugu zenu, hapo mtakua na haki ya kutusema. Sisi tumefunga, ila tunashtukizwa na ndugu zenu wamefika mpaka Kenya ndani, juzi wamekamatwa sita na kuwekwa karantini, tena wamekamatwa maeneo ya Kenya kati.
Ingekua nchi yenu mnachukua tahadhari hamsongamaani na kufanya mambo ya hatari, wala hatungekua na wasiwasi wa ujio wa ndugu zenu, maana tungekua tunajua wanatokea kwenye nchi ambayo wako serious. Kwa mfano leo Waganda au Wanyarwanda wakitushtukiza, wala siwezi kuwa na wasiwasi sana maana kule kwao marais wao wamelichulia hili suala kwa kumaanisha sana, wanajiahidi sana, hawana utani, hairuhusiwi kukusanyika au misongamano.
Hili gonjwa halifichiki , fanya testing usifanye testing kama upo utawachapa vizuri na idadi ya wagonjwa mahospitalini itasema , hali za watu mtaani zitasema , ni kama pembe la ng'ombe halifichikiNdugu zako waganga njaa, wameshindwa kuvumilia wiki hizi mbili huko kwenu.....wanatuponza maana nyie testing zimewashinda hamfanyi kwa kasi, sasa mkiachia achia ndugu zenu kwa njaa zao kuruka ruka huku na kule mtattutia kwenye matatizo.
Sawa mkuu,ila ninavyojua ukifunga mipaka umefunga kweli;hakuna kuingia hakuna kutoka.., unavyosema ninyi kuingia huku ni ruksa basi mmeifunga kimajina tu na si ajabu kuna wanaoingia huko bila kuwa noticed... Najua ikifika point hii ngoma imewazidia utaanza kuilaumu pia tz, lakn nikwambie tu sie hatuna impact yoyote hapo... ungewashauri pia wenzio wasiotekeleza amri ya kufunga mipaka kwa kuja huku waache;ningekuona wa maana zaidi... Tofauti na hapo hiyo amri ya mpakani mnaivunja wenyewe... Halafu sisi hatujalala usingizi kihivyo kwenye hili janga kama unavyojaribu kuaminisha umma.... Kuna measures mtafanana nchi na nchi ila kuna zingine mtatofautiana.
Hili gonjwa halifichiki , fanya testing usifanye testing kama upo utawachapa vizuri na idadi ya wagonjwa mahospitalini itasema , hali za watu mtaani zitasema , ni kama pembe la ng'ombe halifichiki
Mlipokosea ni kuruhusu wale wachina waingie mtaani , hapo tu
sisi Huku kwetu hakuna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania uliwahi kuishi kwa muda gani?Nyie ndio mtulize njaa kwenu, mvumilie wiki tatu hamtakufa.
my friend it's a two way traffic, hata wakenya wanaingia kiholela sana tanzania na mamlaka inajua ila nadhani kwa kwasababu ya issue ya ujirani na ku-share baadhi ya mila na desturi, authority imeamua kutokuwa serious.Wahudumu serikalini hapa Kenya huwa hawapo serious kwenye mkichwa, unafunga mipaka kisha unaachia watu waingie kimagendo.
Entry point on Kenya’s porous borders are a setback to the fight against the coronavirus.
Despite the government’s ban on the entry of foreigners, illegal visitors keep sneaking in and out of the country at will.
In Namanga, on the Kenya-Tanzania border, citizens of the two countries have established clandestine routes to beat the cross-border travel ban.
Locals slammed the government for inadequate measures undertaken to prevent infected visitors from spreading the disease.
Residents urged the government to put testing kits and set up quarantine centres at border points.
“The government claims to have banned visitors’ entry at the border point but they are still streaming in illegally.
“Let it supply testing kits to health centres at borders. We fear that visitors might sneak in the deadly virus,” said Mr Ibrahim Abraham, a trader.
Residents urged the government to classify border entry points as high-risk areas as is the case with airports.
A spot check at the border point on Thursday showed that a handful of health officials only check the body temperature of those entering the country.
During the visit, only three Health ministry officials were on duty.
Ideally, only trucks ferrying goods should be allowed into the country.
However, the number of those entering the country was quite high.
Most staff at the customs office were not wearing face masks. They also did not disinfect their hands with sanitiser while in the hall.
There was a single handwashing point at the entrance to the hall.
Despite a directive by the government that only trucks carrying essential goods should be allowed into the country, residents said cross-border movement continues unregulated.
Residents said that the directive that trucks be escorted by security officers to their destinations and back to check interactions was not being followed to the letter.
Truck and public service vehicle drivers ferrying cargo and passengers on the Namanga-Nairobi road do not wear protective gear such as face masks and gloves, further heightening the Covid-19 scare.
Officials at the border post refused to comment on the matter.
But Kajiado County Commissioner Joshua Nkanatha said the government will strengthen the fight against the coronavirus at the border.
“The border point remains porous but we are trying to minimise illegal entry,” Mr Nkanatha said.
“So far the government has not supplied testing kits at border points, we can only check the temperature of those entering the Kenyan territory.”
He said the government plans to work with Tanzanian authorities to tighten movement restrictions.
Kajiado County has two gazetted border points, Namanga and Tara, but there are numerous illegal entry points along the common boundary.
Namanga officials flirting with virus