Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu heshima kwako. Heading ya threadi ingesomeka hivi: Jinsi uhuru anavyokonga mioyo ya watu , yani ingependeza na kuwa mzuka.
Go go go Uhuru. Hatutaki Sizonje mwengine East Africa
Naamini wanadada wengi wanafurahishwa na vitu kama hivi ambavyo huyeyusha mioyo ya wengi.
MwendaOmo
Labda kamkonga yeye, watu wanataka majibu yenye kuridhisha kuhusu masuala ya ardhi kubwa inayomilikiwa na watu wachache.
Wanataka kujua:
1. Ni kina nani wanaomiliki ardhi kubwa hivyo?
2. Wanamiliki kiasi gani?
3. Waliipata namna gani?
4. Itarudishwa kwa wananchi jinsi gani?
5. Itarudishwa lini?
Hayo mambo ya mashamba yalikuwa wa 2013. Mwaka huu mambo ya mashamba hayako kwa ajenda.
Bravo bravo brooMkuu heshima kwako. Heading ya threadi ingesomeka hivi: Jinsi uhuru anavyokonga mioyo ya watu , yani ingependeza na kuwa mzuka.
Go go go Uhuru. Hatutaki Sizonje mwengine East Africa