Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

nawahahakishia hakuna nguvu ya wananchi kwa sasa wananchi wanamuelewa vizuri sana jpm hawamuelewi vizuri m/k wa CDM kwa kupiga dili tu basi
 
Kasi ya kijitambua Tz ni kubwa sana . Hivi karibuni sheria kandamizi zitaongezeka kuwapa nguvu watendaji vijiji na mitaa kufuatia upinzani na mkwamo mkubwa ushirikiano toka kwa wananchi michango ya maendeleo, mfano ujenzi vyumba vya madarasa.Athari ya kubaka democrasia inawatesa sana.
 
Back
Top Bottom