SoC02 Jinsi unavyoweza kumudu kukabiliana na soko lenye ushindani

Stories of Change - 2022 Competition

Joshua Deus

Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
50
Reaction score
21
Mfanya biashara ni mtu anaye fanya biashara kwa lengo la kupata faida kusudi kuu Ni kukuza kipato chake kwa Mahitaji yake

Wengi hunzisha biashara zenye ushinda katika maeneo ambayo watu wengine wanafanya biashara Kama yake ,Hii inapelekea watu wengi wanapo anzisha biashara zao kushindwa na kuamua kuacha biashara hizo kutokana na kufeli katika soko la ushindani.

Wengi ambao walianzisha biashara za namna hiyo nakujikuta bado wapo katika wakati mgumu wa kukosa wateja kitu ambacho kimekua kikwazo katika maendeleo yao.

Kila biashara inahitaji kujitoa kikamilifu,kuifanya kwa moyo wote na wakupenda unacho kifanya ikiwa utafanya uonekane unafanya biashara Ni ngumu kupenya katika soko lenye ushindani mkubwa.

Unaweza kujiuliza Ni kwa namna gani unaweza kumudu soko la ushindani,Zingatia vitu vifuatavyo vitasidia kushinda Vita katika soko lenye ushindani:-

UTAFITI
Ukiingia kwenye biashara yenye ushindani bila kufanya utafiti una asilimia chache Sana za kufaulu katika soko la ushindani,ili ufanikiwe kupenya katika soko inaakupasa ujitahidi kutafiti Ni kinahtajika na Ni hitaji kubwa sokoni,tambua wateja wanahitaji Nini ikiwa utajua matakwa ya wateja na bidhaa unayo pendwa itakusaidia katika kukua nakujua Ni kwa namna gani ukuze wigo wako wa kiabiashara.
Pia utafiti utakusaidia kujua uwezo wa wateja wako kufanya manunuzi ya bidhaa yako sokoni hivo itakupa mwanya wa kumua jinsi ya kumhudumia mteja wako.

UBUNIFU
Ikiwa unajua umeingia kwenye biashara ambayo wengine pia wanafanya angalia nini kwa namna gani utamfikia mteja wako,Kama ulikua unauza dukani unasubiri mteja aje kutafuta huduma jitahidi kuweka mfumo wezeshi ambao,mteja utamuwezesha kupata bidhaa hata asipo kuja dukani au sokoni Kuna kufata bidhaa hii itakurahisishia kufanya biashara kwa uzuri na itakusaidia kufikia soko.

UBORA
Mfanya biashara anaye zingatia ubora wa bidhaa au huduma huwa vuta wateja kuja kupata huduma au bidhaa kwake pamoja na kuweka imani kwako,bidhaa feki au huduma isiyo na kiwango Bora humfukuza mteja kutafuta sehemu ambayo atapata huduma iliyo bora,
Wateja wengi husimuliana kuhusu huduma Bora inayo toa ikiwa huduma yako itakua chini ya viwango utawafukjza wateja.

UKARIMU
Wafanya biashara wengi hapa huwa wanafeli haijalishi unamsongo wa mawazo au haupo vzuri siku hiyo wateja wengi wanahitaji kuona ukimchangamkia na kumuonesha sura yenye tabasamu.
Lugha ya kibiashara jitahidi ujue namna ya kuzungumzia na mteja ikiwa utazungumza kwa hasira au kisirani kwa sababu tu ya ugomvi wako wa kifamilia au shida zako binafsi hapa utamfukuza mteja,jitahidi kuonesha una mjali.

Kama ulikua unawasiliana kwa ujumbe wa meseji au kuperuzi mtandaoni acha onesha kuwa naye kimaongezi vizuri hii itamfanya ajione wa thamani wahenga walisema ya kwamba "Mteja Ni mfalme,,

KIFUNGASHIO CHA BIDHAA
Bidhaa iliyowekwa katika vifungashio Bora hunvutia mteja kwani kwa Afya yake Ana weka Imani kwamba bidhaa inayo hitajika Ni Bora na yenye viwango vinavyo kidhi kwa Mahitaji ya kibinadamu.
Lakini pia Ina muhakikishia usalama wa bidhaa yake kutokuharibika kirahisi endapo ni bidhaa zisizo hitaji jua .

USAFI
Usafi wa mazingira unayo fanyia biashara yako,yatamvutia mteja na kumpa Imani juu ya huduma na bidhaa zinazo patikana katika ofisi yako.
Ikiwa mazingira Ni machafu Imani inatoweka kwa wateja Hadi kwenye bidhaa zako na kufikia mashaka bidhaa zako,lakini pia usafi wa mwili kwa mtoa huduma mteja pia huangalia mtu anaye muhudumia anamuonekano gani? Muonekano wa kuvutia
huvuta wateja.

MAWASILIANO MAZURI NA WATEJA
Mawasiliano husaidia kupata maoni ya wateja kuhusu ufanye Nini ili kumudu soko la ushindani.pia utakua umefungua nafasi ya huduma kwa mteja,Ambapo utaweza kupata malalamiko ambayo yakutakusaidia kufanya marekebisho kwenye bidhaa au huduma unayo toa,pia itakuwezeshaa kutambua uwezo wa wateja wako katika kufanya manunuzi.

BEI YA BIDHAA
Baada ya kufanya utafiti ikiwa washindani wako wameweka Bei za juu na ukipunguza hautapata hasara shusha Bei ya bidhaa utawavitia wateja na kuwanasa kirahisi kwani wanapenda bidhaa Bora au huduma kwa Bei rahisi.

Wakati mwingine unaweza kutoa offer kwa wateja wako kusudi tu Ni kuhakikisha umeliteka soko lenye ushindani mkubwa wa kugombea wateja wa bidhaa ya aina moja

KUWA TAYARI KWA MICHEZO MICHAFU
Wakati mwingine washindani wako hasa kwa bidhaa ya aina moja wanaweza kukufanyia hujuma kusudi Ni kukuchafua kwa wateja wako waondoe Imani na wewe.
Itakulazimu kukubali kukabiliana na michezo michafu ya kibiashara ambayo so halali lakini pia kujitahidi kujenga misingi ya Imani kwa wateja wako katika bidhaa yako.

ONESHA UTOFAUTI WAKO NA WENGINE
Baada ya utafiti kufanyika na kupata kujua utofauti wako na mshindani mwenza,Amua kuonesha utofauti wako na mpinzani wako,kwanini mteja aje kwako na so kwake hii itakusaidia kuwavuta wateja Kama ni,Beiau ubora wa huduma kwa mteja iliyo na viwango ambavyo Ni Mahitaji ya mteja.

JINA LA BIASHARA/BIDHAA/HUDUMA
Jina la biashara nayo Ni kitu kikubwa Sana katika soko lenye ushindani Ni rahisi watu kupendelea kula katika Migahawa ya KFC kuliko Banda la mama ntilie hata Kama wanatoa huduma ya aina moja,bidhaa ikiwa na jina inajitangaza sokoni na kuanza kukaa moyoni kwa mteja.

TATUA MATATIZO YA WATEJA WAKO
Wauliza wateja wako wanahitaji Nini sio kuwaletea bidhaaa unazo hitaji wewe,je inaisaidia au Ina kidhi nahtaji Yao?Bidhaa au huduma itauzika sanaa ikiwa inagusa Mahitaji ya wateja wako,ikiwa wanafurahia huduma hiyo.

KUWA NA MAHUSIANO NA WASHINDANI WAKO
kujifunza kwa wengine wanafanya Nini sio kosa,Ikiwa utajua wanafanya Nini Hadi wameweza kuwa na wateja wengi,hiyo itakusaidia kuboresha pale palipo pungua,pia utaona Ni kwanamna gani ujitofautishe nanye katika kuboresha hudumabau bidhaa zako ziwe Bora na za kipekee,pokea ujuzi mpya kila siku ili uwe na viwango kulingana na soko linavyo kwenda.

Napenda kushukuru wewe uliyetumia muda wako kusoma Makala hii Nina amini imejifunza jambo kubwa kwa furaha na maliza kwa kusema kwamba yaliyo pita si ndwele tugange yaajayo Nina amini ukizingatia maelekezo yaliyotolewa katika Makala hii yatakusaidia kupiga hatua kutoka hapo ulipo Sasa kwa wakati huu,Ubunifu mpya jinsi ya kuwafikia wateja ukizingatiwa matunda yake yataonekana
 
Upvote 19
Karibuni kwa kuchangia maoni yenu kuhusu Makala hii,lakini pia napokea ushauri Akhsante.
 
Asantee kwa chapisho lako.
 
Asanteni wotee mnao endelea kusoma uzi huu nakupiga kura karibuni pia kwa maoni
 
Makala safi sana, nimeipa kura. Hata hivyo naomba maoni yako kwenye chapisho langu
SoC 2022 - Watu Maarufu na Biashara za Wanyonge, na ikikupendeza naomba kura yako.
Asante.
 
Back
Top Bottom