Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama ulikuwa na biashara moja, na ukaongeza nyingine n.k jua ya kuwa unazidi kuongeza maadui; na adui mbaya zaidi ni yule mtu wako wa karibu, anaweza kuwa ndugu, kaka, dada, shangazi, mjomba n.k hawa wengine wa nje ni wapitaji tu, watakutikisa na watakuacha.
Hata wale unaowashirikisha kwenye ndoto, matamanio, au malengo yako; wanaweza kukugeuka na kuwa maadui; hasa wakijua una mpango wa kuanzisha kitu chenye tija, iwe biashara, ujenzi, kiwanda n.k
Kama, Yusuph alisalitiwa na ndugu zake sababu tu, kuwashirikisha ndoto yake, unafikiri wewe utapendwa zaidi na jamii uliyonayo?