Jinsi unavyozidi kufanikiwa, ndivyo unavyozidi kuongeza maadui

Jinsi unavyozidi kufanikiwa, ndivyo unavyozidi kuongeza maadui

mafanikio yao ni ya uzurumati
Mfumo wa dunia uko hivyo; ili wakili apate hela inabidi uwe na kesi,ili dokta apate hela inabidi wewe uumwe/upate ajali, ili wewe upande cheo inabidi aliyepo aondolewe n.k
 
Mfumo wa dunia uko hivyo; ili wakili apate hela inabidi uwe na kesi,ili dokta apate hela inabidi wewe uumwe/upate ajali, ili wewe upande cheo inabidi aliyepo aondolewe n.k
basi na maadui hawatokosa ila usikariri kuwa kila mafanikio kuna uadui au kila fanikio kuna uzurumati na ujue kwamba uadui unakuja na uzurumati siku zote.
 
Mkuu
Ni kweli

Wanakupenda ukiwa KWENYE deceleration phase lakini ukiwa KWENYE acceleration phase wanakuwkea obstacles!!

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Kwa nini watu waliopiga hatua, huwa wanakodi ulinzi binafsi au kumiliki silaa?

Adui yake anauwezo huo wa kuwa na salaa.

Maskini hana coz adui zake hana uweoz wa kuwa na silaa.

Kuna matajari wengi tu wako free na maisha yako, huwezi kuwaina na walinzi.

Kuna watu wenye kipato cha kawaida tu wana walinzi, hata zuchu walinzi anai kuliko walinzi wa bill gate
 
Back
Top Bottom