Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani.
Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua .
Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la kawaida kabisa kukuta tajiri anatamani kuishi chooni kuliko kukaa maeneo mengine.
Hata unapokwenda bar kubwa kubwa, utakuta walevi wanaongelea chooni, wakitaka kuvuta sigara watapenda kukaa karibu na toilet nk
Nenda kwenye viwanja vya ndege ambavyo utumiwa na matajiri, wakifika cha kwanza watakwenda toilet
Panda mabasi luxury utakuta vyoo vimewekwa ndani kukidhi kiu ya matajiri . Hali hii imezidi kuongezeka siku hadi siku na isipodhibitiwa matajiri wetu watazidi kuishi Toilet
Jokes but ukitafakari kuna ukweli ; chukua taadhari