Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE

Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe.

Kwa mfano unataka kuandika kitabu, ukaamua kuuliza au kufuatilia waandishi mbalimbali walivyofanikiwa kuandika vitabu vyao, badala na wewe uanze kuandika (kupanda mlima) bado umekaa chini ya mlima( hujachukua hatua yeyote).

Kwa kufanya hivyo hutakaa uandike hicho kitabu, mfano huu sio kwa vitabu pekee bali na maeneo mengine ya maisha. So, anza kupanda mlima wako.

DON'T FORGET TO SHOW SOME LOVE:
 
Back
Top Bottom