Pre GE2025 Jinsi Uteuzi wa Nchimbi ulivyofifishwa na Taarifa za Maandamano ya CHADEMA

Pre GE2025 Jinsi Uteuzi wa Nchimbi ulivyofifishwa na Taarifa za Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi ndio dalili kuu za kufilisika kisiasa!
Badala ya kuleta hoja zenye mashiko kwa wananchi. CHADEMA mnafanya siasa za kutafuta matukio.

Ukweli ni kwamba Nchimbi kama Emmanuel Nchimbi ni jambazi lingine la CCM ambalo ujio wake tena ndani ya siasa za nchi hii.
Hususan ndani ya CCM. Ni habari mbaya kwa watanzania kwa sababu ni muendelezo wa kundi la msoga la kifisadi.
Kwa hiyo kupuuziwa kwake na UMMA wa Watanzania ni kwa sababu wameona mafisadi wakizidi kujiimarisha ndani ya CCM.
Na sio kwamba maandamano ya Chadema ndio sababu kuu.
Tafuteni sera badala ya kujiandikia saa ingine upuuzi usio na uhalisia.
Nchi hii ukiondoa utawala wa Nyerere upigaji ni jambo la kawaida ktk hawamu zote, tofauti tu ni kwamba kundi lipi linapiga na kwa wakati gani. Kurudi kwa Nchimbi kutapunguza kasi ya siasa za mabavu na kutotumia akili walizozizoea Sukuma Gang.
 
Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa wananchi na vyombo vya Habari , hii ni kwa sababu Chama hicho ni kikongwe mno , ikizingatiwa pia kwamba nafasi hiyo wamepita watu wengi maarufu , wakiwemo Philipo Mangula , Yusufu Makamba , Kinana na wengineo , Hivyo tulitarajia kishindo kikuu kwa uteuzi wa Nchimbi .

Lakini kwa Bahati mbaya sana , uteuzi huu wa Nchimbi umekuja katika kipindi kibaya , kipindi ambacho Mwamba wa siasa za Nchi Freeman Mbowe , ametangaza Maandamano ya kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi yaliyopangwa kufanyika 24/01/2024 , Tangazo hili la Mbowe limepokelewa kwa kishindo kikuu na wananchi , ambao wameahidi kuunga mkono na kushiriki Maandamano hayo ya Amani .

Kwa kifupi ni kwamba Taarifa za uteuzi wa Nchimbi zimezimwa na Taarifa ya maandamano ya Chadema , Yaani ni kwamba wananchi wanaona kuwa Maandamano ya kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi ni Jambo kubwa na muhimu zaidi kuliko Uteuzi wa Nchimbi , yaani Uteuzi wa Nchimbi umepuuzwa na Wananchi kwa vile wanaona kuna jambo kubwa zaidi kuliko uteuzi wake , kisiasa na hasa kwa Nchi kama Tanzania hii ni Progress

View attachment 2873290
Yaan unapoandika kitu au issue jaribu kuja, na statistics ambazo ni significant, sio kuandika maneno mengi bila evidence za kutosha. Kwa ufupi umeandika porojo. Kwa sasa porojo hazina nafasi.
 
Nguvu ya Chadema inatisha ,
Wananchi walikwisha wapuuza.Mark my word kwa hili na mtaona mtakavyopuuzwa 24/01/24.
Mbowe ametoka kula Mlungula wa 150m juzi kati.
Halafu bila aibu anakuja eti peppers pewa!
Shame on all of you out there.
 
Sasa unalia nini ?
 
Hahahahahahaaaaa!

Hivi hii minyumbu mbowe ameipa limbwata la wapi hadi imekuwa mizuzu namna hii?!!!! Maandamano gani yanazungumzwa huku mtaani?!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Huku mitaani naona watu wamechill wanajipigia mishe zao tu bila habari yoyote ya maandamano. Acheni kujitekenya basi.......
 
Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa wananchi na vyombo vya Habari , hii ni kwa sababu Chama hicho ni kikongwe mno , ikizingatiwa pia kwamba nafasi hiyo wamepita watu wengi maarufu , wakiwemo Philipo Mangula , Yusufu Makamba , Kinana na wengineo , Hivyo tulitarajia kishindo kikuu kwa uteuzi wa Nchimbi .

Lakini kwa Bahati mbaya sana, uteuzi huu wa Nchimbi umekuja katika kipindi kibaya , kipindi ambacho Mwamba wa siasa za Nchi Freeman Mbowe , ametangaza Maandamano ya kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi yaliyopangwa kufanyika 24/01/2024 , Tangazo hili la Mbowe limepokelewa kwa kishindo kikuu na wananchi , ambao wameahidi kuunga mkono na kushiriki Maandamano hayo ya Amani .

Kwa kifupi ni kwamba Taarifa za uteuzi wa Nchimbi zimezimwa na Taarifa ya maandamano ya Chadema , Yaani ni kwamba wananchi wanaona kuwa Maandamano ya kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi ni Jambo kubwa na muhimu zaidi kuliko Uteuzi wa Nchimbi, yaani Uteuzi wa Nchimbi umepuuzwa na Wananchi kwa vile wanaona kuna jambo kubwa zaidi kuliko uteuzi wake, kisiasa na hasa kwa Nchi kama Tanzania hii ni Progress

Uteuzi wa Dr Nchimbi ni pigo kwa wapinzani na ni ustawi wa ccm
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom