Jmziray996
New Member
- Aug 23, 2022
- 1
- 0
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA.
UTANGULIZI
UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua makali, kuumwa kwa kichwa naviungo vya mwili.
Alikadhalika ugonjwa huu husababishwa nakundi la virusi aina ya Corona. Jitihada mbalimbali zimefanywana serikali za nchi nyingi ulimwenguni ili kukabiliana na jangahili la UVIKO 19 ili kunusuru uhai wa maelfu ya wakazi wake jitihada ikiwemo kuweka vizuizi vya kutoka nje ya makazi, uangalizi wa makini kwa watu wote walioathirika na virusihivyo pamoja na jitihada nyinginezo ambazo zimetolewa nakuagizwa na shirika la afya duniani WHO.
Hii ni pamoja yauchapichaji wa makala mbalimbali kuhusu ugonjwa huu wauviko 19 juu ya namna unavyo ambukiza, jinsi ya kuwezakujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huu na namnaambavyo wananchi wanapaswa kuwa makini na athari zaugonjwa huu pamoja na ushauri mbalimbali wa kiafyakukabiliana na ugonjwa huu wa UVIKO 19. ( WHO 2019)
ATHARI ZILIZOTOKANA NA UVIKO 19
Kuna athari nyingi zilizotokana na mlipuko wa UVIKO 19, nyingi zikiwemo kupungua kwa nguvu kazi kutokana na watuwengi kupata maambukizi na kupelekea vifo vya mamilioni yawatu duniani kote.
Hii ni idadi kubwa sana ya vifo vilivyotokana na ugonjwa huu. Taarifa hii imetolewa na shirika la afyaduniani mwaka 2020 hivyo ikapelekea athari kwenye sektazingine yingi ikiwemo sekta ya kilimo na chakula.
UZALISHAJI WA CHAKULA
Kipindi cha mlipuko wa UVIKO 19 uzalishaji wa chakulaulipumgua kwa kiwango kikubwa sana hii nikutokana na sababumbalimbali ikiwemo mazuio ya wananchi kwenye mikusanyikopia upatikanaji adimu wa vifaa, mbegu na mbolea kwa nchizinazoendelea ikiwemo nchi za Afrika ambazo zinajihusisha nakilimo( uzalishaji wa chakula).
Hivyo kwa mantiki hiiimepelekea kuzorota kwa hali ya uzalishaji wa chakula kwakiwango kikubwa takribani kwa asilimia sabini(70%). Taarifa yashirika la chakula duniani (FAO 2020), Palia kupungua kwahuduma za ugani kwa wakulima ni moja ya chanzo cha kupungua kwa uzalizhaji wa chakula duniani.
UTUNZAJI WA CHAKULA
Katika kipindi hicho cha mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO 19 utunzaji wa chakula ukekua mdogo kutokana na uzalishaji hafifuwa chakula hivyo kupelekea upatikanaji mdogo wa chakula nachote kuishia kwenye matumizi ya nyumbani na sio kibiasharana kutunza kwaajili ya matumizi wa wakati ujao.
Hivyoimepelekea tatizo katika sekta nzima ya utunzaji wa chakulakwa sababu tajwa hapo juu. Taarifa ya FAO 2020.
UPATIKANAJI WA CHAKULA
Pia kwakipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO 19 upatikanaji wa chakula ukekua mdogo kulinganisha na nyakatizingine hii ni kutokana na uzalishaji wa chakula kushuka zaidihivyo kupelekea uzalishaji, uhifadhi wa chakula kuwa mdogosana na halikadhalika upatikanaji wake kua wa kiasi kido zaidiulimwenguni kote. FAO 2020.

Upvote
0