Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

How are hurricanes named?

Lots of people think that hurricanes were always named after women - because of our volatile nature, no doubt - and that only recently did they start alternating between male and female names because of feminist outcry. Not true.
Prior to 1950 storms weren't officially named at all. From 1950 to 1952 they were named simply Able, Baker, Charlie, Dog, Easy, Fox, George...not very imaginative, but it sufficed. From 1953 to 1978 someone (my guess a man going through a nasty divorce) decided to use only female names. Finally, in 1979, they started alternating between male and female names.
Hurricanes are named alphabetically, years in advance and starting the alphabet over each year. (If you get a Hurricane Wilma, you know you have had a busy storm season!) The Atlantic and the Pacific have separate naming lists.

These are the names assigned to Atlantic storms for the 2011 Hurricane Season:

[TABLE="width: 80, align: center"]
[TR]
[TD]Arlene[/TD]
[TD]Harvey[/TD]
[TD]Ophelia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bret[/TD]
[TD]Irene[/TD]
[TD]Philippe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cindy[/TD]
[TD]Jose[/TD]
[TD]Rina[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Don[/TD]
[TD]Katia[/TD]
[TD]Sean[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Emily[/TD]
[TD]Lee[/TD]
[TD]Tammy[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Franklin[/TD]
[TD]Maria[/TD]
[TD]Vince[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gert[/TD]
[TD]Nate[/TD]
[TD]Whitney[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Retired Names - There are several lists of names that are rotated year after year, but when there is a particularly bad storm that has had a severe impact on the population they retire the name. Storms that have had their names retired are:


[TABLE="width: 90, align: center"]
[TR]
[TD][TABLE="class: grid, width: 459"]
[TR]
[TD]Agnes (1972)[/TD]
[TD]Cleo (1964)[/TD]
[TD]Frederic (1979)[/TD]
[TD]Joan (1988)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Alicia (1983)[/TD]
[TD]Connie (1955)[/TD]
[TD]Georges (1998)[/TD]
[TD]Juan (2003)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Allen (1980)[/TD]
[TD]David (1979)[/TD]
[TD]Gilbert (1988)[/TD]
[TD]Katrina (2005)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Allison (2001)[/TD]
[TD]Dennis (2005)[/TD]
[TD]Gloria (1985)[/TD]
[TD]Keith (2000)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Andrew (1992)[/TD]
[TD]Diana (1990)[/TD]
[TD]Hattie (1961)[/TD]
[TD]Klaus (1990)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Anita (1977)[/TD]
[TD]Diane (1955)[/TD]
[TD]Hazel (1954)[/TD]
[TD]Lenny (1999)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Audrey (1957)[/TD]
[TD]Donna (1960)[/TD]
[TD]Hilda (1964)[/TD]
[TD]Lili (2002)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Betsy (1965)[/TD]
[TD]Dora (1964)[/TD]
[TD]Hortense (1996)[/TD]
[TD]Luis (1995)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Beulah (1967)[/TD]
[TD]Edna (1968)[/TD]
[TD]Hugo (1989)[/TD]
[TD]Marilyn (1995)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bob (1991)[/TD]
[TD]Elena (1985)[/TD]
[TD]Inez (1966)[/TD]
[TD]Michelle (2001)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Camille (1969)[/TD]
[TD]Eloise (1975)[/TD]
[TD]Ione (1955)[/TD]
[TD]Mitch (1998)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Carla (1961)[/TD]
[TD]Fabian (2003)[/TD]
[TD]Iris (2001)[/TD]
[TD]Opal (1995)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Carmen (1974)[/TD]
[TD]Fifi (1974)[/TD]
[TD]Isabel (2003)[/TD]
[TD]Rita (2005)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Carol (1954)[/TD]
[TD]Flora (1963)[/TD]
[TD]Isidore (2002)[/TD]
[TD]Roxanne (1995)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Celia (1970)[/TD]
[TD]Floyd (1999)[/TD]
[TD]Ivan (2004)[/TD]
[TD]Stan (2005)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cesar (1996)[/TD]
[TD]Fran (1996)[/TD]
[TD]Janet (1955)[/TD]
[TD]Wilma (2005)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Charley (2004)[/TD]
[TD]Frances (2004)[/TD]
[TD]Jeanne (2004)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kina dada wengi wameskip hii mada maoni yao ni muhimu pia.kina husninyo,ladyg,lizzy na wengineo
<br />
<br />
dah! Kinapewa majina ya kike maana hakina mzaha kama wanawake tulivyo. Kimbunga kijacho inasemekana kitaitwa husninyo.
 
pole sana sajenti ukiwa mwizi sharti ujue kujihami kila kona.set simu yako isiwe inahifadhi sent items. hope umegundua walivo na hasira za haraka.hiyo hasara alokupa ingetosha kununua mifuko mingapi ya cement hapo sajent?

...Lokissa, umenikumbusha kuna siku my wife alikuta sms ya kwenye simu yangu kiukweli ilitoka kwa demu mwingine lilikuwa kosa la kiufundi kwa kawaida nikichat na vicheche sms na-delete zote lakini siku hiyo nadhani ndio ilikuwa 40 yenyewe mshikaji anapenda kupekua pekua smu yangu mazee sms ilikuwa imesheheni maneno makali ya mapenzi baada ya majibizano ya hapa na pale nikasikia kasimu kamebamizwa chini pwaaaa!!! kila k2 kule. Na chakula cha usiku nikanyimwa wikii nzima naambiwa nenda huko huko. HAwa watu balaa!!!
 
All forces of nature are commonly refered to a woman. Utasikia pia dunia wanaita mother nature, sasa kuna uhusiano gani na mwanamke na nature? Au ni vile females wa anajukumu la kuleta viumbe duniani?
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza sijapata muda wa ku google origin ya haya majina. Na wanajuaje kuwa sasa huyu ni katarina, huyu ni Irene. Kazi kweli.
 
kuna mzungu kaniambia ukitaka kumficha mwafrica andika siri yako kwenye kitabu eti kisa mwafrica hawezi akakaa hata dakika tano akicma kitabu..
 
Baada ya kukwambia hivyo ulichukua hatua gani? Au ulichekelea kwa kuwa ni mdhungu kasema?
kuna mzungu kaniambia ukitaka kumficha mwafrica andika siri yako kwenye kitabu eti kisa mwafrica hawezi akakaa hata dakika tano akicma kitabu..
 
kabla ya mwaka 1953 walitumia latitude&longitudes ku-name izo storm, then baada ya hapo ikawa majina ya binadam

na huwa named kutegemeana na aina ya storm, mwaka huu ukitokea let say wataipa jina la kidada lakini the same ikijirudia next time ni la kiume

kufikia sasa majina yakiume yametumika zaidi kuliko ya wanawake(29-21)

kwa sasa itaonekana yakike ni mengi sababu kabla yakiume mengi yalitumika so yanakua replaced
 
lol sipati kwetu ikija tukaanza majina yetu...nyangetwa, mwajuma, mwalukindo, ngw'anambiti lol
 
kabla ya mwaka 1953 walitumia latitude&amp;longitudes ku-name izo storm, then baada ya hapo ikawa majina ya binadam

na huwa named kutegemeana na aina ya storm, mwaka huu ukitokea let say wataipa jina la kidada lakini the same ikijirudia next time ni la kiume

kufikia sasa majina yakiume yametumika zaidi kuliko ya wanawake(29-21)

kwa sasa itaonekana yakike ni mengi sababu kabla yakiume mengi yalitumika so yanakua replaced
Mmh! Ile sio vizuri, coz hayajengi picha nzuri kwa wadada!
 
kuna mzungu kaniambia ukitaka kumficha mwafrica andika siri yako kwenye kitabu eti kisa mwafrica hawezi akakaa hata dakika tano akicma kitabu..
UNGEMCHAPA VIBAO, yan kakuonyesha dharau ya hali ya juu!
 
kuna swali huwa najiuliza na sipati majibu yake lakini nadhani hapa ndo mahali sahihi,
hivi haya majina ya vimbunga kama rita, irene n.k hayo majina wanayapataje i mean watumia vigezo gani kuamua hilo jina, na inaonekana ni maji na ya kike tu. mwenye msaada anijuze
 
Kuna Website ya watu wa hali ya hewa ambayo kila mtu anaweza kupendekeza jina,sasa majina haya yanapangwa na kutumika kwa kila kimbunga lakini mapendekezo ya majina yameshafikia mamilioni kwahiyo watu hawajishughulishi tena.
 
Muda mfupi nimesikia kimbuka nchini italy kikiitwa Cleopatra.

Kila kimbunga utasiki mara Tsumani, Wima, Katrina na n.k

Nani hutoa majina na nini asili ya majina haya?
 
Mdau ameuliza:

Muda mfupi nimesikia kimbuka nchini italy kikiitwa Cleopatra.

Kila kimbunga utasiki mara Tsumani, Wima, Katrina na n.k

Nani hutoa majina na nini asili ya majina haya?

Vimbunga au Tropical cyclone au Cyclonic Storms vilianza kupewa majina rasmi tangu mwaka 1945 kwa sababu mbalimbali, ikiwepo kutoa na mawasiliano kati ya Watabiri wa Hali yaHewa na Jamii wakati watabiri wanapoangalia na kutoa tahadhari. Nyakati hizo watabiri walikubaliana kutoa majina ya vimbunga kwa yenye Majina ya wanasiasawanaochukiza, viumbe vya kufikirika, watakatifu, na majina ya sehemu. (Wake kwa Waume).

Majina hutolewa in order wakitumia Greek alphabet (Alpha, Beta, Gamma, etc.)

Kuna orodha maalum ya Majina ya Vimbunga ambayo hutolewa na World Meteorological Organisation (WMO).

Majina hutofautishwa katika bahari kuu za dunia kama vile Pacific, India na Antilantic. Majina ya Vimbunga vya Bahari ya Pacific ni Tofauti na majina ya Bahari ya Hindi ili kuondoa ukinzani wa kurudia majina.

Yaani Kimbunga cha Bahari ya Pacific hakiwezi kuwa na Jina kama ka Kimbunga cha Bahari ya Hindi. Pia majina hujumuisha nguvu ya uharibifu wa hicho kimbunga hutofautishwa kwa mwendo kasi wa Upepo(wind speed). Kwa hiyo watunzi au mtunzi wa majina ya Vimbunga ni Wataalam wa Hali ya Hewa.

Kwa notes za Darasani nikupe kidogo kwa Kizungu kama unataka kujua nini hasa kimbunga. Siku nyingine nitakutafsiria kwa kuwa Jamii Forums ni zaidi ya Chuo.

======

A hurricane is a powerful, rotating storm that forms over warm oceans near the Equator. Another name for a hurricane is a Tropical cyclone.

Hurricanes have strong, rotating winds (at least 74 miles per hour or 119 kilometers per hour), a huge amount of rain, low air pressure, thunder and lightning. The cyclonic winds of a hurricane rotate in a counterclockwise direction around a central, calm eye.

If this type of storm forms in the western Pacific Ocean, it is called a typhoon.


Hurricanes often travel from the Ocean to the Coast and on to land, where the wind, rain, and huge waves can cause extensive destruction.

Generally, when a hurricane moves over land (or over cold ocean waters) the storm begins to weaken and quickly dies down because the storm is fuelled by warm water.

On average, there are about 100 tropical cyclones Worldwide each year; 12 of these form in the Atlantic Ocean, 15 form in the eastern Pacific Ocean and the rest are in other areas.

Hurricane season
is the time when most Atlantic Ocean hurricanes occur; it is from June 1 until November 30. In the eastern Pacific Ocean, hurricane season is from May 15 until November 30.
 
Back
Top Bottom