Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Kweli unagawa elimu bure watakuelewa tu...Hahahaaaaa! Ungejua Ali namtafutaa kwa udi na uvumba, ile scandal yake naunder 18 naiwekea migo 24hrs yule dogo afunguke tu nije nimtumbue humu. Yaani bahati yake kweli. Wale tembo atawaona mbugani tu. Kwenye 40 za mwizi Ali yupo kwenye 30 na kitu.
Hapa hapendwi mtu ni maadili tu.
ok nimekuelewa japo nafsi yako ndo ina majibu sahihi ka upo nyuma ya tigo au. Poa kazi njema katika mapambano yako japo ni sawa na vitz vuta semi kitonga kwa maana voda ni vijeba.Naona promo la bure linapamba moto very good.
Sasa naanza kuamini waliosema account ya lara1 ina uhusiano na yule dada wa insta.
Afu huyu kijana cjui ni ndumba au nyota kali maana kila anayejaribu kumshusha anapoteza yeye.
ok nimekuelewa japo nafsi yako ndo ina majibu sahihi ka upo nyuma ya tigo au. Poa kazi njema katika mapambano yako japo ni sawa na vitz vuta semi kitonga kwa maana voda ni vijeba.
Vodacom power to you..... Siku nyingine tena teh
So voda hapo wanatakiwa wamuite duller, baby ake na wengio wawakanye kurepost matangazo ya Voda
Kila mtu akiajiriwa voda kazi nyingine anafanya nani? Hii hii kazi yangu ndo nataka sihitaji ya Voda wala tigoVoda hapo watajua kwanini HUKUTI TANGAZO LA TIGO, HALOTELL, AIRTELL WALA ZANTELL KWENYE HIZI ACCOUNT UCHAFU, FAKE, WAPOST MATUSI????????/ Je wenyewe wanafanyaje to keep their brand clean?
NDO MAANA HUKUAJILIWA VODA NA HULIPWI 6 FIGURES WALA USIUMIZE KICHWA, KUNA WATU NA MASTERS ZAO 5 MULE, KUNA AIM GROUP AGENCY KUBWA TU INA MPAKA ACCOUNT MANAGER NA ACCOUNT EXCECUTIVE SPECIAL FOR VODA. Usiwaze kabisaaa.
Page zenye picha chafu ndio zenye followers wengiUkweli wapuuzi wengi na page fake za IG wanatangaza haya matangazo ya Voda na ni mabingwa wa matusi na picha chafu hata sielewi hii deal wamepata kwa kigezo kipi.
Tatizo hata kwenye hili watakuja mbio wakunange kua wewe ni timu fulani sijui ujinga huu wa kila ishu kuweka utoto wa timu utaisha lini.
Haswaaaa...!!!Lowassa aliposema ELIMU, ELIMU na ELIMU watu walimuona bwege, ila huyu mzee alishaona tatizo la raia wa nchi hii hasa vijana ni elimu.... hiyo timu diamond ninauhakika asilimia 10000000% wote ni ZERO BRAINS wakiongozwa na huyo rais wao mkata mauno.. SIWEZI KUSHANGAA WANACHOPOST SABABU KINAENDANA NA HADHI YA UBONGO WAO, Ila tawashangaa voda milele. π
Lowassa aliposema ELIMU, ELIMU na ELIMU watu walimuona bwege, ila huyu mzee alishaona tatizo la raia wa nchi hii hasa vijana ni elimu.... hiyo timu diamond ninauhakika asilimia 10000000% wote ni ZERO BRAINS wakiongozwa na huyo rais wao mkata mauno.. SIWEZI KUSHANGAA WANACHOPOST SABABU KINAENDANA NA HADHI YA UBONGO WAO, Ila tawashangaa voda milele. π
Sasa mimi sina cha kupotezaaa, maana kama kurogwa maisha yashaniroga kitambooo. Hahahaaaa!