Jinsi waafrika tusivyojikubali wenyewe

Jinsi waafrika tusivyojikubali wenyewe

Ba Razaack

Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
31
Reaction score
41
Mida ya jion nilikuwa nimekaa sehemu napata zangu gahawa,,Walipita wadada wawili ,
Mmoja mweupe mrefu hivi ana shape flan hivi, katika kijiwe kile wanaume wengi walionekana kumsifia saaaana yule manzi lakini Mwingine aliye kuwa na rangi nyeusi afu mfupi hakuweza kupewa ushirikiano Kabsaa katika kijiwe kile.

Nikawaza saaaana kumbe tunalalamika"Black lives matter "" kumbe sisi wenyewe hatujipendi na kujikubali kabisaa rangi zetu,
 
Mkuu kati ya Rangi nyeupe na Nyeusi, Nyeupe ni rangi nzuri zidi ya Nyeusi hiyo ni nature ilivyoanza from beginning... Wala wazungu hawana hati miliki ya hiyo rangi wao wamezaliwa wameikuta rangi nyeupe na Nyeusi zipo tangu hatujaja Duniani binadamu na endapo ingekuwa kabla hatujaretwa Duniani yaani tumeumbwa hatuna rangi/Colorless then tungeambiwa tuchague uwe mweusi au mweupe 90℅ wangechagua kuwa weupe.

Hivyo elewa iyo ni nature kumpenda mwanamke mweupe over mweusi haimaanishi unawapa Title wazungu bali ni uumbaji na nature wao whites sio wamiliki wa rangi.

Suala la kumbagua mtu kwasababu mweusi hiyo ni topic nyengine kabisa.
 
Sasa maswala ya kupenda mtu wa rangi fulani yanahusiana nini na mtu mweusi kutojikubali
 
Weusi ni wabaguzi wakubwa kuliko wazungu yaani.
 
Hapo shida ni HAKUA NA MAKOTA. Sio Rangi.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wengine tunatokea kanda maalumu hivyo tunapenda rangi zenye mwangaza kidogo ila sio za wazungu kabisa[emoji41]
 
Ujue ubaguz unao pingwa sio uo unao ufikiria na mfano ulio toa ni wakijinga Sana sababu ubaguz unao pingwa ni ule wa mtu mweupe kumuona mtu mweus sio binadama na kumuona kama mnyama tu unatakiwa uelewe ilo
 
Back
Top Bottom