Jinsi Wachina wanavyopiga hela nyingi Morogoro!

Nimesoma comment kwenye uzi huu, ikabidi nirudi tena kusoma mada husika,nimehitimisha safari yetu ni ndefu mno kwa aina hii ya majibu kwenye mada hii.
..........mind you, hao waliochangia mada hii ndo wanaaminika kuwa wasomi na waelewa na huu ndo mtandao unaoaminika kuwa umebeba watu wanaojitambua zaidi kuliko social media zingine(wanajiita great thinkers)... Sasa imagine huko Facebook, wasap, insta, TikTok etc kuna watu wa aina gani..........
 
Yeah Sure.
 
Back
Top Bottom