..........mind you, hao waliochangia mada hii ndo wanaaminika kuwa wasomi na waelewa na huu ndo mtandao unaoaminika kuwa umebeba watu wanaojitambua zaidi kuliko social media zingine(wanajiita great thinkers)... Sasa imagine huko Facebook, wasap, insta, TikTok etc kuna watu wa aina gani..........