Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Taarifa zimetoka jinsi kikundi cha udukuzi cha kofia nyeusi 'black hats' kilivyotumia tovuti ya michezo nchini Uganda kuchukua pesa kutoka kwenye mfumo wa Airtel Uganda(AMCUL)
Wakati tovuti hiyo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ikijisifu kufata viwango vya usalama kulinda taarifa za watumiaji wake ndio iliyotumika kuingilia mfumo wa Airtel.
Baada ya kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Airtel kukubali kila muamala unaokuja, wadukuzi walichukua karibu bilioni 8 za Uganda kwenye operesheni waliyoipanda.
Pesa kubwa zilitolewa kutoka kwenye akaunti za watumiaji wa simu 1840
Zaidi, Soma=> Wadukuzi wachota mabilioni Airtel Money