Jinsi Wakenya walivyotupasha ukweli leo

Jinsi Wakenya walivyotupasha ukweli leo

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,433
Reaction score
2,791
Zaidi soma hapa

Screenshot_2023_0610_214834.png
 
Unga wa ugali kwao ni shida,wakome kufuatilia maisha yetu tutapambana wenyewe kuing'oa ccm
 
Najua, lakini nawe unajua kinachoendelea kwetu
Kwa sasa ukipata nafasi kula mkuu au tafta mchongo kama alivyosema faiza foxy kwenye huu mchongo maana kwa sasa hakuna kitakachobadilika tunavutiwa zaidi na nani kachukua kiatu cha mchezaji bora hivyo utakasirika lakini muda wa mabadiliko bado
 
Huku ukiandika hivyo maisha yako yatakua hatarini Sana
 
Unga wa ugali kwao ni shida,wakome kufuatilia maisha yetu tutapambana wenyewe kuing'oa ccm
CCM inawajua watu wake,ikishawapa kanga na sukari kilo tano, watacheza kale kawimbo ka CCM mbele kwa mbele
 
Hio habari ni bunge la kenya
 
Back
Top Bottom