Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

Mungu ni mwema !Tunajua mipango yenu miovu Lakini ,tutamshukuru Mungu Kwa tote.Ata Magufuli alitupora ushindi wetu tukamshukuru Mungu na Mungu akatujibu Kwa njia ya shukrani
Mimi tena nimeshakuwa na mipango? Hapa najaribu kutoa taadhali kwa wale wanaoona kesi nyepesi au tayali Mbowe ameshashinda kwa maswali walioulizwa hao mashahidi wawili ndio maana nawaomba wasome hivyo vitatu ili waone mtiririko wa maswali na majibu unavyokuwa
 
H Hv kweli unawez kusimamia kumushuhudia uongo mtz mwenzako ili ss upate nn? Hakika tungekuw tunaishi milele dunian tungetesana sana lkn tunapita tu
 
IT oyeeeeeeeeeeee! Waache waendelee kuosha "their dirty linen in the public".
 

Sio taaluma yako hii. Huwezi kujua nini maana ya cross examination. Maswali hukusudia kumpima mtu kama ni shahidi mkweli au muongo. Mswali ya mwanzo huwa yamekusudiwa kujaribu personality ya mtu. Huoni pamoja na maswali hayo uliweza kujua kuwa taratibu nyingi hazikufuatwa?? Unawezaje wewe askari kumkamata mhalifu usiyemjua na ikafikia kumnunulia hata chakula!!??

Mashahidi wa serikali nao watauliza maswali kama hayo unayoyaita pumba! Kama hukusikia Jaji hakuizia maswali hayo - ujue ni maswali mujarabu. Yajibiwe tu!!
 
Kumbe police kabla ya kunisachi ni lazima na yeye asachiwe...aisee

Nitaanza kujifunza sheria soon maana yaonekana kujua sheria si option tena...wanatuonea sana hawa makarau.
 
Inaumbuka vibaya sana Mkuu.
Hii kesi Police wanakwenda kubakia weupe peee...waachane na hii kitu mapema.

Nasubiri kwa hamu siku IGP akipanda kizimbani..
 
Reactions: BAK
kesi ya ugaidi yanazungumziwa mambo ya supu ya mo energy.
Umeenda kumkamata Osama kweli askari wa marekani amnunulie baga na energy drink? Kama mtu angekuwa ni hatari to that extent basi hata handling yake ni ya kipekee. Think big. sema huenda huna ubongo wa kuthink big na kujua why hilo swali limekuja
 
Umeenda kumkamata Osama kweli askari wa marekani amnunulie baga na energy drink? Kama mtu angekuwa ni hatari to that extent basi hata handling yake ni ya kipekee. Think big. sema huenda huna ubongo wa kuthink big na kujua why hilo swali limekuja
Aisee
 
Malisa-guriba kwenye mitandao hazijaweza kuwapeleka Ikulu na hazitamuokoa mbowe
 
Malisa-guriba kwenye mitandao hazijaweza kuwapeleka Ikulu na hazitamuokoa mbowe
Kwani tatizo lipo wapi ndg? Mtu kutoa taarifa kilichokuwa kinaendelea mahakamani ni dhambi kwako? Au hupendi na sisi tupate habari? Acha nongwa
 
Maswali ya ,itoto maswali ya kijinga. Unapouliza wapi kuna binduki nyingi si ni kuvunja siri za usalama, halafu umpe Lawyer wa gaidi?
 
H
Hv kweli unawez kusimamia kumushuhudia uongo mtz mwenzako ili ss upate nn? Hakika tungekuw tunaishi milele dunian tungetesana sana lkn tunapita tu
Dah! Mheshimiwa unaonekana ni mvivu wa kuandika! 🤔
 
Mr. MATATA, Dickson


Mr. Matata is a fast-growing lawyer with diverse knowledge of Civil and Criminal litigations, Corporate matters, Debt collection, Family matter
Ndiyo maana anauliza maswali ya kijinga- anaficha aliposoma halafu unamuita wakili msomi.
 
PROFESSIONAL BIOGRAPHY



Mr. Peter Patience Kibatala is an Advocate of the High Court of Tanzania and Courts Subordinate thereto. He is an accomplished legal practitioner, researcher and a litigation hero. He attained his LL.B (Hons) Degree at Mzumbe University in 2006. He was called to the Bar of Tanzania in 2008 and enrolled as a full time practicing advocate conducting cases in almost all areas one may contemplate, ranging from Corporate, Civil, Criminal, Commercial, Industrial Relations and Arbitration, and Procurement Disputes.



He is recognized in the legal and business community as a trusted and reliable lawyer and he is admired for his veracity and ethical approach to the profession.



He successfully served as Vice President of The Tanganyika Law Society, the Bar Association of Tanzania, from 2012 to 2014. He is also an active member of East African Law Society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…