figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hii ni story ya Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikoni mwa Polisi na kutokomea naye
Nani sio mstaarabu? UngemtajaUstaarabu katika siasa ni jambo muhimu
Hujaelewa?
Polisi wanapenda sifaSasa tuelewe kitu gani mkuu 'figga'; John Heche hayupo mikononi mwa polisi tena?
Na mdogo wake bado analalamikia jambo gani kama hali ni hivyo?
Mbona habari hizi zinachanganya watu namna hii?
Waulize Wabara wenzioUstaarabu katika siasa ni jambo muhimu
Mleta mada anaweza kuwa sehemu ya utekelezaji!!!zinachanganya