Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikononi mwa Polisi na kutokomea naye

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hii ni story ya Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikoni mwa Polisi na kutokomea naye
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa tuelewe kitu gani mkuu 'figga'; John Heche hayupo mikononi mwa polisi tena?

Na mdogo wake bado analalamikia jambo gani kama hali ni hivyo?

Mbona habari hizi zinachanganya watu namna hii?
 
Sasa tuelewe kitu gani mkuu 'figga'; John Heche hayupo mikononi mwa polisi tena?

Na mdogo wake bado analalamikia jambo gani kama hali ni hivyo?

Mbona habari hizi zinachanganya watu namna hii?
Polisi wanapenda sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…