Jinsi wanaume wanavyonunua Condom

Jinsi wanaume wanavyonunua Condom

Hahahaaaa umenikumbusha tangazo moja hivi la zamaniiii, jamaaa alipiga pedeli kufuata kondom kufika dukan akawa anaona so kununua, alichokifanya akaanza kununua box za biscuit, alitumia muda mrefu sana hadi kununua condom, karudi kwa mbwembwe akakuta mchepuko ulisha sepa...
 
Yaaani huwa naingia pharmacy kwa jeuri...

Nasema tuu lete RR 2 hapo...
 
Hahahaaaa umenikumbusha tangazo moja hivi la zamaniiii, jamaaa alipiga pedeli kufuata kondom kufika dukan akawa anaona so kununua, alichokifanya akaanza kununua box za biscuit, alitumia muda mrefu sana hadi kununua condom, karudi kwa mbwembwe akakuta mchepuko ulisha sepa...
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom