Jinsi Wanawake wa mjini wanavyoishi maisha mazuri na huku hana kazi

Jinsi Wanawake wa mjini wanavyoishi maisha mazuri na huku hana kazi

Duh wana hatari.......sasa dah hata sijui nisemaje kudanga kwangu kooote Wanaume wawili double wamenishida aseee.....heri nimdange mmoja tukiacha nihamie mwingine ....yanini kuishi kama upo kituo cha polisi kila mda huna amani....
Mi huwa naonaga watu wanavyojipa taab kwakweli. Maisha si mazuri.
Halaf cha ajab hizo pesa hazikai. Yaan hata uhunge million. Zote zinahishia kwenye starehe.. umri ukisogea ndio wanajifanya makungwi. Japo si wote.

Ila hii tabia si nzuri
 
Mi huwa naonaga watu wanavyojipa taab kwakweli. Maisha si mazuri.
Halaf cha ajab hizo pesa hazikai. Yaan hata uhunge million. Zote zinahishia kwenye starehe.. umri ukisogea ndio wanajifanya makungwi. Japo si wote.

Ila hii tabia si nzuri
Ni kweli asee
 
Haa haa haa aiseee at ukonga mpaka
Tegeta,sinza mpaka makongo juu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Huwa ni starehe za mda tu na mwisho wa siku anakuja kujutia na kusema maadam ningejenga hata kwetu
 
Huyo Na mwambia njoo uchukue ghetto akija ananipa changu na yeye anapewa hela yake simple
 
Nikiona sms ya salaamu "Mambo dear" kutoka kwa demu ambaye sijawasiliana nae muda mrefu hua sijibu siku hiyo mpaka baada ya siku 5 ndo najibu
 
kabla sjaitoka kwenye maisha ya kurukaruka, kuna baadhi ya meseji zilikuwa zikiingia katika simu, najihisi hasira za ghafla, najikuta mtu kala block, na simu yenyewe nauza au nagawa basi...sim card zaid ya mia...kwa sasa nina miaka sijawahi kukutana na meseji za kipuuzi kutoka kwa wapuuzi kama hao...ni mwanamke mmoja tu awezae kutuma meseji inayohusu muamala tena kwa adabu zote na nikiwa nipo mbali na home
 
wanawake hawakuumbiwa wapate shida,shida pekee wanayotakiwa kuipata ni kubeba mimba,kujifungua na kunyonyesha.

Matatizo yameletwa na huu mfumo wa kibepari unaoindesha dunia hivi sasa.
 
Mwanaume mjinga ndo akitumiwa limeseji la hivyo anarespond kwa kufanya muamala! Kama si mjinga labda awe wa dar
Kuna mwenzio laki kwake ni kama buku 10 kwake,sasa akiambiwa atume alfu thalasini ni sawa na wewe uambiwe utume alfu tatu,so anaona poa tu,hana hasara anakuwa kama ametoa sadaka kwa omba omba..
 
Na mtaliwa sana "Kipira" Kwa style hii..yaani unajisifu kabisa eti mnatupanga *****..
 
Ila mjini kuna watt wanakunya jamani...kabla hujaombwa umeshatuma
 
Na hayo madanga 20 labda kama yote yameingia mjini mwaka huu wakati stand ya mkoa inataka kuhamishwa Ubungo terminal lakini kama yaliingia mjini stand ipo Kisutu, Mnazimmoja na Kariakoo hapo watakaotuma ni 10 alafu kati yao 6 wataomba namba ya mita wanunue direct
 
Back
Top Bottom