Mi huwa naonaga watu wanavyojipa taab kwakweli. Maisha si mazuri.Duh wana hatari.......sasa dah hata sijui nisemaje kudanga kwangu kooote Wanaume wawili double wamenishida aseee.....heri nimdange mmoja tukiacha nihamie mwingine ....yanini kuishi kama upo kituo cha polisi kila mda huna amani....
Ni kweli aseeMi huwa naonaga watu wanavyojipa taab kwakweli. Maisha si mazuri.
Halaf cha ajab hizo pesa hazikai. Yaan hata uhunge million. Zote zinahishia kwenye starehe.. umri ukisogea ndio wanajifanya makungwi. Japo si wote.
Ila hii tabia si nzuri
Kuna mwenzio laki kwake ni kama buku 10 kwake,sasa akiambiwa atume alfu thalasini ni sawa na wewe uambiwe utume alfu tatu,so anaona poa tu,hana hasara anakuwa kama ametoa sadaka kwa omba omba..Mwanaume mjinga ndo akitumiwa limeseji la hivyo anarespond kwa kufanya muamala! Kama si mjinga labda awe wa dar