Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

Vijana wengi mnapokosea ni ku-focus kwa wanawake badala ya ku-focus kwenye maisha yako mwenyewe. Equip yourself with knowledge, swag, stability, character, principles, anything that makes you better, and see how easier they fall in place.

Jaribu hata humu kwenye mitandao. Be an interesting person, watakuja kibao. Ukiwashobokea, unakuwa kituko tu.

Cha msingi kabisa, never ever try to impress a chick that doesn't like you already.
 

Labda useme Vijana wa siku hizi wanakimbia majukumu Yao.

Ku-focus na wanawake ni moja ya majukumu ya Mwanaume.
Unaposema maisha unazungumzia General term, unaposema wanawake unazungumzia Specific term iliyopo kwenye maisha
 
Mkuu, Robert akikupinga nitashangaa.

Kiufupi nakuunga mkono asilimia zote.
Ukicheki Adam alipewa dunia ila baadae aliletewa Eva kama ziada tu. Hata Mungu alisema '' si vyema akae peke ake" maana ake Adam iliwezekana akaishi peke ake.

Adam purpose kubwa ilikuwa ni kuchase the world ailime aitumikie and so on. Mwanamke ndio kazi yake ya ziada ni kumfurahisha tu Adam baada ya mishe zake.
So nikirejea maelekezo yako juu mkuu umeua, mwanaume fanya mambo yako watakuja wengi me mwnyew ni shahidi wa hili. Katika ulimwengu wangu wa mahusiano wanawake ambao nimedate nao na walinipenda kuzidi chochote ndiyo wale ambao sikuwa chase.

Nb ili waku chase ishi life lako kiutofauti kabisa. Kwa busy aisee watakusumbua na utawala sana. Kuna manzi alinipenda kisa tu eti niko chuo kikuu lakini hosteli nalima mboga mboga hapo nakaa hosteli ya kishua balaa ila baada ya masomo niko busy kuhudumia chinese [emoji23][emoji23][emoji23]

Mfano kwenye kundi la wanaume ulilopo kuwa different smart etc. Wanawake hawapendi mwanaume maneno mengi. Wao wameumbiwa mdomo. Be a bad man, chase your dreams.

Kutongoza mwanamke ambar hauko naye kwny mahusiano ni ujuha mwingine
 
Wenye subira na magazeti kazi kwenu mi nimeishia robo
 
Labda useme Vijana wa siku hizi wanakimbia majukumu Yao.

Ku-focus na wanawake ni moja ya majukumu ya Mwanaume.
Unaposema maisha unazungumzia General term, unaposema wanawake unazungumzia Specific term iliyopo kwenye maisha

Ok.
 
Bwana taikoni nimejifunza jambo moja hapo, mwanaume anatakiwa awe na mafanikio ya kutosha na kama hilo litashindikana basi aigize kufanikiwa kwa kuwa mtanashati la sivyo ataonekana nuksi na kukimbiwa tu
Point taken
 
Nature inaelekeza kuwa Mwanaume ndiye anayepaswa kum-chase mwanamke.

Hayo ni majukumu ya Mwanaume hasa kipindi cha ujana akitafuta Familia.

Mwanaume anamajukumu mengi, kutafuta pesa haiondoi majukumu mengine, hilo uliweke akilini
pusy don't chase a dog
 
Naomba zungumza maswala mengine ila hili liache mana ni utata zaidi ya utata
 
Mtuwangu mimi anaroho nyepesi sana mwanzo nilidhani anazingua tu lakini kumbe ndio tabia yake.
Yani anapenda full concentration yangu iwejuu yake mudawote.
Kunasiku alirukiwa na tone la mafuta jikoni namimi nilikuwa bz namalizia viporo vya kazi nyumbani sasa sijamuambia pole ilikuwa balaa,😆😆

Kunamda natamani sikuziende first tuzeeke mambo yasiwe mengi, damen!.
 
Kwa kifupi ulikua unasemaje? Ndefu sana mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…