HahahHa nimechekaama kwa hakika ni kivutio cha utalii
huyu anatakwia kufukuzwa kwenye iyo shule anayofundisha, ataharibu watoto. hivi ana uwezo wa kufundisha kweli huyu?
Mkuu upo vizuri kwenye kumbukumbu za Physical GeographBila kusahau geysers, hotspot na geothermal emissions,
Nakatika zile extrusives zilizo bahatika kuingia kwenye medula zikatengeneza pahoehoe na pillow lava features.
Huyo jamaa ni very complex asee
Hahaha mkuu kwa bahati nzuri nilifika mbali zaidi kwa baba la geography aseeMkuu upo vizuri kwenye kumbukumbu za Physical Geograph
Nilikuwa nalipenda sana hilo somoHahaha mkuu kwa bahati nzuri nilifika mbali zaidi kwa baba la geography asee
Ni zuri,Nilikuwa nalipenda sana hilo somo
Sawa mkuu,Tumuachie Teacher Deo uzi wake!Ni zuri,