Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Brigadier Isaac

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
495
Reaction score
1,436
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako unavyomiliki na sometimes huwa unahisi hii kitu kwamba unaendeshwa lakini unajikuta kama kuna ugumu kunasuka kutokana brain slaving effect na unabaki kukimbilia kunywa bia ili kupunguza stress,unakimbia nyumba yako mwenyewe na kuina chungu na wengine mnabaki kusalimu amri huku ukijipa moyo ndio inavyotakiwa kuwa hivyo hivyo.

Basi usihofu acha nikueleza jinsi hiyo psychological attack na brain slaving inavyofanywa na wanawake na jinsi ya kujinasua.

TRICK ZINAZOTUMIKA NA WANAWAKE KUATHIRI SAIKOLOJIA YAKO AU KUFIKIRIA KWAKO. 1. Anakucommand na kukuwekea ulazima wa kufanya majukumu ambayo kimsingi siyo yako kama mwanaume.mara nyingi hapa anaanza kwa kigezo cha kumsaidia siku nyingine atajifanya anaumwa na mwisho wa siku unakuta kakubesha mzigo na anaanza kucommand kwa ulazima na wewe unajikuta unaogopa kukaidi.hii kutokana tangu mwanzo akili yako ulianza kujiekea majukumu sio yako tena ukaanza kujifunga na kijiwekea akilini kwako lazima nimsaidie pia ni haki yake bila kujiuliza yeye akusaidia huko unapoenda kutafuta pesa.

2.anapenda kutafuta makosa yako na akiyapata hutumia kukulamikia na kukukandamiza ego yako ili uanze kujiona unamapungufu mwisho wa siku confidence yako ipungue juu ya maamuzi yako binafsi.mfano anakagua simu yako ili kupata tu sababu ya kulalamika,vitu ulivyopoteza au kuharibu anatumia kama mfano pale unapotaka ufanye maamuzi yako binafi nauanze kujiona wewe hauwezi ila yeye ndio ataweza.N.B. kisaiokolojia mtu anayetaka kucontrol anapenda kuponda mienendo yako na vitu unavyofanya ili tu uanze kutii mawazo yake.

3.hupenda kusema haumridhishi au una ume mdogo ,tena hupenda kusema pale tu inapotokea ukinzani baina yake.nakubali ni kweli kuna wanaume wana matatizo hayo ila pia mkubali kuna wanawake hupenda kutumia kama silaha kupunguza confidence ya mwanaume husika.Nadhani wale waliowahi kusifiwa mwanzoni wa mahusiano kuwa wako vizuru na baadaye mahusiano yalipovunjika wajikuta wanatangaziwa hawana makali ndio watanielewa vizuri kwamba nguvu za kiume hutumiwa na wanawake kuvuruga saikolojia ya mwanaume husika ili tu mwanaume huyo amsujudie kwa kuogopa kutangazwa.

4.Anaeneza propaganda chafu juu yako wewe kwenye husiano wenu kwa watoto wako,ndugu zako,marafiki zako na hata majirani wanaowazunguka.hii trick inatumiwa kwa wanaume wenye ubongo zege [emoji23]yani ngumu kuyumbishwa ,kwa hio mwanamke huanza kueneza propaganda chafu ili uanze kujiogopa na kujiona wewe ndio unamakosa muda wote kwa sababu watu wa karibu yako wanakusema vibaya kwa kila unachofanya kutokana na sumu waliolishwa juu yako wewe na mwisho wa siku unaanza kujifeel maamuzi yako ni ya kipuuzi nakuona bora kufata amri za mke wako atakama unahisi ni za kipuuzi.

5.kutokana kutoyumbishwa kwako anajaribu kukushawishi kwa kutolea mfano wa mwanaume fulani huku akimsifia ila kimtazamo huyo mwanaume na yeye anaendeshwa na mpenzi wake.mfano- Labda siku alikuambia humsaidie kufua vijora vyake ukataa kufua ,anaanza kusema unajikuta kidume mbona mwenzio baba fulani akitoka kazini kila siku anamsaidia mkewe kila kitu hadi anafua hadi chupi za mkewe[emoji23] na mbona bado ni mwanaume tena ni mwanaume kweli,utamsikia tena akikuambia jiamini mwanaume wewe kama ni mwanaume ni mwanaume tu.My friend hii kitu nishaelezea point ya kwanza sasa wewe jichanganye hufuate ushauri wake ndio utaelewa kwanini tuliambiwa tuishi nao kwa akili sio kupaka mkongo.

6.Anaanza kuchukulia kufanya wajibu wake ni kama favor wala sio wajibu kama wajibu na hupenda kukuambia kauli ambazo humaanisha kuishi na wewe ni bahati mbaya hivi. Hii trick mwanamke anakuwa anakushusha daraja kwa kujisifia yeye ili kuongeza ego yake ili wewe huanze kujisikia mdhaifu na uanze kumsujudia kwa kuogopa kumpoteza ila hii mara nyingi hufanya kazi kwa wanaume dhaifu.

7.kukejeli na kukufokea mbele za watu hasa watu unaofahamiana nao kama vile watoto,marafiki zako,wafanya kazi wenzio,majirani wanaowazunguka.Hii mwanamke hutumia kukufanyia dhihaka mbele za watu wanakufahamu ili tu huanze kujiogopa juu yake na kujiona wewe hauna maana yani kiufupi hii trick inaua self awareness yako ,mwisho wa siku unajikuta saikolojia yako imevurugika kutokana na dhihaka uliofanyiwa mbele za watu ambao kimsingi ulikuwa unapata heshima kabla na mwisho siku unakuta unaendeshwa na mkeo japo moyo wako unaumia lakini unaogopa kutoka na violance uliofanyiwa ambayo imesababisha uoga wa maamuzi kutokana na kufa kwa self awareness yako.

8.kujiweka kwenye hali kana kwamba unamyanyasa halafu wewe mwenyewe ukifikria unaona kabisa hujamnyanyasa ila yeye full kununa na kukaa kihuzuni.hii trick mwanamke hujinunisha ili tu mwanaume husika afate matwaka yake kwa vile mwanaume huyo atahofia juu ya kukosa kwake furaha,mwishoo wa siku mwanaume huyo hufata matakwa yake ili mwanamke huyo afurahi.Nadhani watu waliobahatika kusikia story za samson na delira watanielewa.

9.akupa pesa na anachukua jukumu la kukulea.mara nyingi wanawake hutumia trick kukosesha kauli katika mahusiano.japo mara kwanza wanaume wengi huchukulia kama upendo mara kwanza ila mwisho wanajikuta kuhisi kukosekana kwa uhuru wa maamuzi binafsi kama wanaendeshwa vile ila ndio hivo mwanamke huyo kamfanyia brain slaving yani mwanaume anashidwa kuwa mbunifu jinsi ya kutafuta pesa kutokana na ile misaada kulemaza ubongo wake.mwisho wa siku anabaki kumsujudia mwanamke huyo ili kuokoa kula yake.

VITU AMBAVYO HUFANYA MWANAUME KUATHIRIKA KIRAHISI SANA NA TRICK HIZO ZA BRAIN SLAVING.

1.kupenda kutazama tamthiliya za mapenzi za kisasa.hii bila kupepesa macho mara nyingi tamthiliya za love story huonesha character bora wa kiume huwa anakuwa weak emottion pale kwenye suala la mapenzi mara nyingi huwa ni mtu wa kulia na kukubali usaliti kwa kutumia njia ambazo zinamdhalilisha mwenyewe binafsi.hii kitu kama ulikuwa mtazamaji kindakindaki lazima tu utaanza kuzitumia na mwisho wa unajikuta unaburuzwa ila wewe unaona sawa tu.

2.unachukua ushauri kutoka kwa wanawake.siku zote ukimuomba ushauri mwanamke kuhusu matatizo yako ya mahusano atakufundisha jinsi kuwa mr.nice hata kama mke wako kachepuka mbele yako ,utakujibu pole jamani !!! anaweza akawa shetani kampitia au utakuwa hauko romantic hebu kesho mfanyie shopping ya nguvu halafu mpeleke hotel kubwa mkaenjoy halafu akiwa huko muulize kwanini unanisaliti?[emoji23]

3.kutojitambua nafasi yako kama mwanaume na kutoelewa mipaka ya majukumu yako.

4.kuathiriwa na misemo ya woman empowerment.mara nyingi misemo hii ikikukaa akilini uwezi tambua nafasi ya uongozi kama man na unaanza wewe bila mwanamke huezi ishi.

5. Kupenda kusikiliza nyimbo ambazo maudhui yake huonesha mwanaume akivumilia manyanyaso huku akijipa moyo ipo siku atapendwa.

6.Kuruhusu speech za wanaume waliobuluzwa na wake zao kujichukulia nafasi.sababu hizi speech ukizisikiliza huwa zinaleta mfadhaiko ambao hupoteza nguvu yako kama mwanaume na kuanza kujiona hata wewe ni loser kwa mwanamke kitu ambacho sio kweli ni vile kuna wanaume ni weak emottional.

7.kuigiza kama comedian furani au katuni.tangu watu waamishwe mwanamke anapenda mwanaume mcheshi basi wanaume wengi wameanza kujishushia status zao kwa kufanya mambo ambayo kimsingi wanakuwa kama katuni fulani huku wenyewe wakiona wanawake hao wakiwachekea halafu baadae unaanza kuhisi dharau kwa wanawake hao.

8.Kutofanya na kuogopa kufanya crimes event(sijahamasisha matukio makubwa ya uhalifu).umewahi jiuliza kwanini vijana zamani walikuwa wanachezeshwa michezo hatari kama kua simba wakiwa wana andaliwa kuingia katika ndoa jibu ni kuweka spirit ya uongozi,mamuzi magumu,uwajibikaji,ujasili ndio maana hawakubuluzwa kama sisi kwa sababu ya kuwa strong emottional.hii ndio mana wake wanapenda bado Bad boys kwa sababu ya kuwa na spirit hizo.

HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUEPUKANA NA MITEGO HIYO

1.tafuta doctor wa saikolojia akueleze namna ya kuwa na self aweness.

2.Acha kuangalia love story anza kunza kuangalia filamu za action ili kujiwekea spirit ya kujaribu na kuamua mamuzi magumu pale unapopitia wakati mgumu.

3.Acha kuigiza kama katuni kuwa smart cheka pale tu panapotakiwa anza kuongea kwa order huku sauti ikiwa ya bezi achana kuongea sana huku umebana sauti.

4.kwa kulinda ego yako kama mwanaume ondoa akilini kwako speech zinazoelezea ego power ya wanawake anza kuhifadhi speech nzuri za mfumo dume.

5.Acha kukimbia nyumbani kwa kuogopa mke wako mkorofi inakubidi urudi nyumbani kukabiriana nae.kabiriana kwa kuongea kimamlaka yani unaongea maneno machache yenye kukaa katika mfumo wa order bila kusahau bezi la kuforge[emoji23]
6.penda kuwa wewe usikubali mtu akubadilisha kwa kukejeli na kama utaona kejeli zimezidi react kama unampiga hii kwa sababu kuna viumbe vikorofi.

7.kama utaweza anza kujifunza michezo kama boxing,karate ambayo kimsing hujenga spirit ya kujiamini hata kwenye wakati mgumu.
8.kwa wale waliothiliwa na point 5 na7 unaweza tumia mfumo huohuo kugeuza kibao.

9.Anza kujiboresha kiroho na kujiweka strong.kwa sababu kuna wanawake wakianza kuona mabadiliko hawachelewi kukimbilia tradition issues.

Asante japo kwa kuisoma japo najua nitakua kunasemu nimekosea uandishi na wale wenye maswali na ushuhuda mnaweza kucomment
 
Back
Top Bottom