Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Uoga tu vimtu gani hivo vya kushindana navyo??
kwanza umemzidi umri.
Pesa.
akili.
Mamlaka
Wepesi
Maguvu
Maamuzi
Wewe ni mfano wa Mungu yeye haijulikani ni mfano wa nani...
Una misuli yeye aipate wapi?
Unaweza oa hata ke kumi yeye apate wapi.
Unawezaishi popote.
Kadri siku zikienda yeye anazeeka.
Akijifanya karumanzila na mie naenda tena palepale.natoa nounga maradufu.
Akifanya fyooo! Shoga zake watakuwa michepuko hawa watanipa siri zake zooote!
Yaani kuna mengi ya kuwafungueni ila basi tu. Ma skili yenu zege sana mnalia weeee km mitoto yatima.
 
Umeandika vyote ila umesahau watu kama samson na maguvu yake alihingizwa mkenge kuishi na mwanamke unabidi uwe na akili kama ya jasusi la sivyo unaweza kujikuta unaendeshwa bila wewe kugunduahuku ukiwa na mimali yako
 
Tumekuelewa
Kuanzia leo naanza kuangalia movie za horror tu.

Na ujetromeni na uromantiki nao unachangia kutuharibu
Asante mkuu umenipa moyo angalau umeonesha kunielewa japo uandishi F.pia ningefurahi zaidi kama unge umoderate na kushare mitandao mingine kama FB ili tuwafungue fikra wanaume wenzetu walio potea
 
Umeandika vyote ila umesahau watu kama samson na maguvu yake alihingizwa mkenge kuishi na mwanamke unabidi uwe na akili kama ya jasusi la sivyo unaweza kujikuta unaendeshwa bila wewe kugunduahuku ukiwa na mimali yako
Umesahau nilivosema. km wewe si mwana wa Mungu nae mjua utaumia tu na kijimwanamke. tena cha hovyo chenye kikwapa chenye kaelimu duni ka kulazimisha.

Humu duniani kuna walio wa Mungu na kuna walio wa shetani.na wa Mungu tunajijua hawatishiki kamwe!Na mke mwema Mungu atakupa tu!

sababu alisha sema/niahidi.na ni mwaminifu akisema ni amesema atatenda. hofu ya nini???mpaka nitie shaka.

Mimi ni zaidi ya Samsoni.yeye yule alikuwa mnadhiri wa Mungu tangu tumboni. Lkn..

Mimi ni mfano wa Mungu aliye hai tangu kuumbwa kwa Dunia. huoni hizo tofauti nenda tena kasome upya.Biblia yako km haijachakachuliwa.
 
Upo?
 
Umeandika mambo ya msingi sana hadi wakati nasoma nilikuwa natamani habari isiishe👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…