Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Yaani CCM ukipiga kura wanakuibia na usipopiga kura wanatumia jina lako kupiga kura halafu hiyo kura wanaiiba na kuifanya iwe ya kwao.
CCM ni kama kansa.Yaani CCM ukipiga kura wanakuibia na usipopiga kura wanatumia jina lako kupiga kura halafu hiyo kura wanaiiba na kuifanya iwe ya kwao.
CCM kwenye uchaguzi ni wezi NDOIGE wa kura. Ukipiga wataiba na usipopiga wataiba pia.
CCM walishawahi kusema wana mkakati mkakatini.Siasa siasani