Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Rais wa Marekani alitangaza tenda ya kufanya Painting katika jengo la White House.
Na alipata nchi tatu ambazo zimeapply zabuni hiyo. Ambapo alipata kampuni ya Kichina, ya Kizungu (European) na ya Kipakistan.
Mchina alibid ofa ya $ Mil3, Mzungu alibid ofa ya $ Mil7, na Mpakistan alibid ofa ya $ Mil10.
Rais akamuuliza Mchina kwanini umebid $ Mil3? Mchina akasema, 1Mil ya Painting, 1Mil ya Labour charge na 1Mil ni Profit ya kampuni.
Rais akaenda kwa Mzungu na kumuuliza kwanini umebid $ 7Mil? Mzungu akasema, 3Mil ya Painting, 2Mil ya Labour charge na 1Mil ni Profit ya kampuni.
Rais akamalizia kwa Mpakistan na kumuuliza kwanini umebid $ Mil10? Mwarabu akasema, 4Mil NAKUPA WEWE, 3Mil ni yangu na 3Mil NITAMPA KAZI MCHINA.
BOOM! Mpakistan akafuzu kupata tenda yake pale.
Je, Unafikiri kwanini Mpakistan aliwashinda wenzie?