BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele.
Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama vile; Mbele kwa mbele, Mama anaupiga Mwingi, tuko Burundi, tunaisoma namba wote, Kazi eendelee na kadhalika, Maneno kama haya yanawapa nguvu sana watawala na baada ya kuona kumbe watu ni wazuri kwenye utani, Sasa wamekuja na Kodi ya Nyumba kwenye LUKU.
Hili nalo Mtaani na kwenye mitandao ya kijamii mijadala mingi ni utani asilimia 99, Mambo ya Mama anaupiga Mwingi, Mbele kwa mbele, tunaisoma namba na kadhalika.
Baada ya Hapa watakuja tena na Makato mengine na mengine na tutaendelea na utani kama kawaida wakati tunaangamia.
Tunao angamia ni sisi na familia zetu, Haya maumivu mtu kama Mwiguru Nchemba haya muhusu kamwe.
Ila inasikitisha tunao umia tuko bise na utani.
Hii imekuwa ni kawaida kwenye mambo memgi sana na ya muhimu kwenye nchi.
Tukiendelea na kila kitu tuna fanya Joking watawala watatukamua sana