Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Kama hutaki hama nchi, ndio majibu yao hawa na unakuta mtu anaenda kanisani ama msikitini kabisaaaa, waache waendelee kuupiga mwingi ipo siku moto ukiwazidia watanzania wataamka, hakuna haki ambayo utaletewa ukiwa nyumbani kwako, pambana hakikisha uonevu unakoma na bado naskia wanajipanga na mamlaka za maji waongeze na huko yaani ukiskia kuoga mara moja kwa wiki ndio huko, Poleeeee samakii poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee