Jinsi watu wanavyotongozana JF

Niunganishie kwa huyo mkaka aisee nna shida na laki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Evelyn Salt ameongea kitu ambacho tuliteseka nacho zamani ila kwa sasa kimerahisishwa na hii mitandao.

Research, information availability. Back then ulikuwa huwezi kujua mtu unayetaka kumuapproach ni mtu wa namna gani, anapendelea nini, michezo, siasa, udaku, urembo etc mpaka akwambie mwenyewe. Humu kwenye mitandao taarifa zipo, msome mwelewe...

Unapomfata unakuwa unataarifa kamili juu yake, mistari inakuwa direct to point, hata mkichat siku nzima hamchoshani, tengeneza mazingira ya mtu kuisubiri reply yako kwa hamu, akitaka kujua umeandika nini.

Be interesting, learn how to listen what she wants you to hear, na uwe na kumbukumbu ya details ndogo kulingana na ulivyomsoma.
 
HAHAH wazee hii strategy ipo poa sana.. ila inawafaa wenye mioyo migumu..

mie kwakweli siwez kuingia PM ya demu humu cjui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…