Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Niunganishie kwa huyo mkaka aisee nna shida na laki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Evelyn Salt ameongea kitu ambacho tuliteseka nacho zamani ila kwa sasa kimerahisishwa na hii mitandao.

Research, information availability. Back then ulikuwa huwezi kujua mtu unayetaka kumuapproach ni mtu wa namna gani, anapendelea nini, michezo, siasa, udaku, urembo etc mpaka akwambie mwenyewe. Humu kwenye mitandao taarifa zipo, msome mwelewe...

Unapomfata unakuwa unataarifa kamili juu yake, mistari inakuwa direct to point, hata mkichat siku nzima hamchoshani, tengeneza mazingira ya mtu kuisubiri reply yako kwa hamu, akitaka kujua umeandika nini.

Be interesting, learn how to listen what she wants you to hear, na uwe na kumbukumbu ya details ndogo kulingana na ulivyomsoma.
 
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.

So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.

Ila use this guideline and you might have a shot.

1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.

2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.

3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.

4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.

5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.

6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.

NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.

Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.

So go forth and prosper friends!
HAHAH wazee hii strategy ipo poa sana.. ila inawafaa wenye mioyo migumu..

mie kwakweli siwez kuingia PM ya demu humu cjui kwanini
 
Back
Top Bottom