Jinsi watu wanavyotongozana JF

Sasa auntie utajibu mara ngapi hizo salaam ukijibu bada ya nusu saa anakuja tena kukusalimia
Marahabaaa auntie, unamtusi kimoyomoyo tu na haujibu.
 
Kwangu sina neno maana mim sio mtongozaji wanakuja wenyewe kwa kugombania
 
Mama maeeeeee!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hail to the queen of best comment ever in jf!!!!!
 
Hapa kuna ukweli. ...mfikirishe mtu. ...sio siku ya kwanza ushamlisha kila kitu. ...kesho mnabaki mnatazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…