Jinsi watu wanavyotongozana JF

Ujue jf bwana kila mtu na uhandishi wake yaani huwa haubadiliki kabisa
Kweli kabisa, mie nlivoona koment yake ya kwanza tu nikashtuka nikaenda kumtembelea kwny profile nijiridhishe [emoji13]
 
Sema kweli jamani
Basi ngoja mm nije kwako Jimmie nitajua uko uko mbele kwa mbele kama nacheza biko
kweli kabisa mimi pm sio mahala pangu kabisa yani huwa naingiabkwa mods nikiwa na shida nao kama ni PM ya member basi ujue aliomba nimwambie kitu kwenye comment ila nikiona kimekaa too sensitive basi ntamtumia pmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kweli kabisa mimi pm sio mahala pangu kabisa yani huwa naingiabkwa mods nikiwa na shida nao kama ni PM ya member basi ujue aliomba nimwambie kitu kwenye comment ila nikiona kimekaa too sensitive basi ntamtumia pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuja kwako unijibu basi Jimmie halafu tusikimbiane na hii sura ya baba angu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] insta babe nina dushe tena sio kibamia
nimecheka asee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani msisitizo kabisa dushe na sio kibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…