Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Sema kweli jamani
Basi ngoja mm nije kwako Jimmie nitajua uko uko mbele kwa mbele kama nacheza biko
kweli kabisa mimi pm sio mahala pangu kabisa yani huwa naingiabkwa mods nikiwa na shida nao kama ni PM ya member basi ujue aliomba nimwambie kitu kwenye comment ila nikiona kimekaa too sensitive basi ntamtumia pm😂😂😂😂
 
kweli kabisa mimi pm sio mahala pangu kabisa yani huwa naingiabkwa mods nikiwa na shida nao kama ni PM ya member basi ujue aliomba nimwambie kitu kwenye comment ila nikiona kimekaa too sensitive basi ntamtumia pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuja kwako unijibu basi Jimmie halafu tusikimbiane na hii sura ya baba angu
 
Back
Top Bottom