Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hahaha, kwa kweli Mkuu, mbaya zaidi nazurura sana ktk hayo ma miji
sas unatumiwa mtoto mkali anajileta PM unajiona umeokota dodo katika mnazi.. kumbe umeokotwa wewe na jiwe.. tena sahiv yupo huko kanda ya ziwa... watakukuta ndugu zako unaelea katika viroba, ZIWA victoria
 
Naona watu wako makini na wameutendea haki ushauri kwa kumwaga likes za kutosha [emoji848][emoji848][emoji848]....sawa mje bas na kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
That's a friend like au friendship nalipia nusu ya lovers hahahahahah
 
Kyakyayaa haya bana mbavu sasa
 
Kitu nilichofeli katika maisha yangu kuwa na URAFIKI na MWANAMKE... aisee labda uwe urafiki wa juu juu ule wa mambo vipi? shwar? baas.. ila sio kutembeleana hadi nyumbani lazima nikuweke
ww jamaa kiboko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimeshawahi kupoteza rafiki wa kike mzuri ambaye tulikuwa tunasaidiana kwenye mambo mbalimbali baada tu yakusikiliza ushauri wa washkaji (utamwachaje mtoto mzuri vile) nikafanya yangu tukaingia kwenye mahusiano

nikaleta ukivuruge tukaachana yule msichana ananichukia hadi kesho

na mimi pia ninajuta mpaka kesho kupoteza rafiki mzuri kwa kuingiza mambo ya mapenzi

wakati tupo marafiki tulikuwa tunazinguana then tunakuwa sawa ila ugomvi wa kimapenzi nilimuumiza akaishia kunichukia na hataki hata kuniskia

so bro angalia ukute unapoteza vingi kwa hyo kanuni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…