Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

ww jamaa kiboko 😂😂😂😂 nimeshawahi kupoteza rafiki wa kike mzuri ambaye tulikuwa tunasaidiana kwenye mambo mbalimbali baada tu yakusikiliza ushauri wa washkaji (utamwachaje mtoto mzuri vile) nikafanya yangu tukaingia kwenye mahusiano

nikaleta ukivuruge tukaachana yule msichana ananichukie hadi kesho

na mimi pia ninajuta mpaka kesho kupoteza rafiki mzuri kwa kuingiza mambl ya mapenzi

wakati tupo marafiki tulikuwa tunazinguana then tunakuwa sawa ila ugomvi wa kimapenzi nilimuumiza akaishia kunichukia na hataki hata kuniskia

so bro angalia ukute unapoteza vingi kwa hyo kanuni yako
HII kanuni yangu najua madhara yake ndio maana SHOBO na wanawake sina,kuna kipindi wakati nasoma chuo walikuwa wanawauliza marafiki zangu.. "mbona ___ yupo serious sana.. hana story na sisi..yeye ni kusalimia na kutembea tu.. mwambie ajirekebishe.." jamaa akaj kuniambia.. nikabaki nacheka tu.. maana najua nikianza kucheka nao wale.. nitawabandua..na mimi uzinzi sipendi sana.. ila nikiwa na jinsia tofauti kwa muda mrefu tumekaa sehem tulivu.. ahhh weee uchomoki
 
HII kanuni yangu najua madhara yake ndio maana SHOBO na wanawake sina,kuna kipindi wakati nasoma chuo walikuwa wanawauliza marafiki zangu.. "mbona ___ yupo serious sana.. hana story na sisi..yeye ni kusalimia na kutembea tu.. mwambie ajirekebishe.." jamaa akaj kuniambia.. nikabaki nacheka tu.. maana najua nikianza kucheka nao wale.. nitawabandua..na mimi uzinzi sipendi sana.. ila nikiwa na jinsia tofauti kwa muda mrefu tumekaa sehem tulivu.. ahhh weee uchomoki
😂😂😂😂😂
 
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.

So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.

Ila use this guideline and you might have a shot.

1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.

2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.

3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.

4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.

5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.

6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.

NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.

Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.

So go forth and prosper friends!
Dah...watu mna muda jamani...mbona vitu vingine ni rahisi tu lakini mnavikompliketi?....dunia imebadilika...inakwenda kasi....2025 si mbali...dah[emoji41]
 
Back
Top Bottom