Jinsi watu wanavyotongozana JF

HII kanuni yangu najua madhara yake ndio maana SHOBO na wanawake sina,kuna kipindi wakati nasoma chuo walikuwa wanawauliza marafiki zangu.. "mbona ___ yupo serious sana.. hana story na sisi..yeye ni kusalimia na kutembea tu.. mwambie ajirekebishe.." jamaa akaj kuniambia.. nikabaki nacheka tu.. maana najua nikianza kucheka nao wale.. nitawabandua..na mimi uzinzi sipendi sana.. ila nikiwa na jinsia tofauti kwa muda mrefu tumekaa sehem tulivu.. ahhh weee uchomoki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah...watu mna muda jamani...mbona vitu vingine ni rahisi tu lakini mnavikompliketi?....dunia imebadilika...inakwenda kasi....2025 si mbali...dah[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…