Leo naona utafika kileleni mpaka uombe pooo sio ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naona utafika kileleni mpaka uombe pooo sio ?
Wala sijawahi kuliwaza hilo mara nyingi baada ya kazi huwa naingia humu kujua dunia inaenda je? Lakini kuwa kuifuatilia profile ya mtu sijui kaweka picha ya paja lake sijawahi mfuata binti/Mdada yeyote na siwezi.Humu ni kwambia muhusika tu ukweli,akikaza unakula hamsini zako.
Wanasema akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi.
Endelea hivyo hivyo bro. Humu sanaa nyingi.Wala sijawahi kuliwaza hilo mara nyingi baada ya kazi huwa naingia humu kujua dunia inaenda je? Lakini kuwa kuifuatilia profile ya mtu sijui kaweka picha ya paja lake sijawahi mfuata binti/Mdada yeyote na siwezi.
Mkuu wewe uko immune na avatar, au commentsWala sijawahi kuliwaza hilo mara nyingi baada ya kazi huwa naingia humu kujua dunia inaenda je? Lakini kuwa kuifuatilia profile ya mtu sijui kaweka picha ya paja lake sijawahi mfuata binti/Mdada yeyote na siwezi.
astaghafurah!walah!....tufike wote tuLeo naona utafika kileleni mpaka uombe pooo sio ?
@manengelo utakuwaje leo, eti wet?Leo naona utafika kileleni mpaka uombe pooo sio ?
Sijaielewa Lugha uliyotumiaMkuu wewe uko immune na avatar, au comments
Itabidi nikufikishe tu hamna namna. Si unajua zile za mkuna na mkunwaji.astaghafurah!walah!....tufike wote tu
Namaanisha hivi; avatar hazikuvutii au comment ndo zinakuvutiaSijaielewa Lugha uliyotumia
[emoji3][emoji3][emoji3]Itabidi nikufikishe tu hamna namna. Si unajua zile za mkuna na mkunwaji.
Mimi ndio mkunaji na wewe mkunwaji....! Tusifike huko bibie.
Vipi bro nimechuka mipaka nini ?[emoji3][emoji3][emoji3]
Itabidi nikufikishe tu hamna namna. Si unajua zile za mkuna na mkunwaji.
Mimi ndio mkunaji na wewe mkunwaji....! Tusifike huko bibie.
Kaka mimi ni mkurya haswaaaa! Sasa hizi Lugha zingine zahitaji makarimani tena kike ndiyo nitamuelewa nini? Maana yaAVATARNamaanisha hivi; avatar hazikuvutii au comment ndo zinakuvutia
Asante...! Narudia tena wewe ni muelewa ajabu.stooop
Hamnaa badooooVipi bro nimechuka mipaka nini ?
Avatar ni sura ya mkuu, nadhani [emoji23][emoji23][emoji23]Kaka mimi ni mkurya haswaaaa! Sasa hizi Lugha zingine zahitaji makarimani tena kike ndiyo nitamuelewa nini? Maana yaAVATAR
mm hapa mwambie mhudumu aje na desperado 2Nani anaongeza