Jinsi watu wanavyotongozana JF

"Ukiwa na pesa utasifiwa kitambii
Baby me I like that
Nakukupamba kwenye simu, video snapchaat.
Kumbe hana maana hadi Mangii anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym, kutafuta six packs

Unaiibiiwa
Unaibiiiwa

Unaibiiwa
Unaibiiwa"
Kwahiyo pesa ndio kila kitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo pesa ndio kila kitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana. Unaweza kuwa na pesa ukaibiwa na mwenye six packs hana pesa.

Baba muhifadhi Nyerere kasema utu wa mtu kazi, pesa ni matokeo.

Chidumule kaimba "Usitumie peesa, kama fimbo baba. Mambo ya pesa hutaka makubaliano, hapo ndipo pesa huwa na thamani ee".
 
Hahahaaa!!
Dah kuna siku na utu uzima wangu huu niling'ata vidole kisa hii technique na hapa ni keyboard ndo imeongea, angekua live je ningechimba vishimo na kuchuma majani ya miti, bwana niokoeeeee
 
Duuh.. Nafikiri wanafunzi wakielewa hili somo wakufwate inbox tu
 
Mkuu usipate tabu.. Humu jf kuna wadada kibao wanakwambia pesa mbele mengine yatafuata.. Kwahyo we anzisha uzi then attach video ukiwa unachezea mihela (kama ile video ilomfanya maua sama na soudy Brown wako ndan) then hao warembo watakuja wenyewe tu
 
Mama angu nimecheka mbona umesahau na wazee wa salaam kila akiingia salaam na maswali umekula nini

Mana hizo anaona ndio swagger
 
Nakufananisha na shoga angu mbebez wa beira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…