Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Shida Zote za Nini? Kitaa Mademu wamejaa mpaka tunawakwepa!
 
Yaani tabu yote hiyo tu ili uwe karibu N mtu ambae hata humjui alivyo mwisho wa siku upoteze muda wako pale mtakapokutana na asikuvutie
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
We inaonekana ulikuwa mjanja tangu enzi za kuvunja beseni, hupendi kona nyingi kama za kitonga, au za korogwe
 
"Ukiwa na pesa utasifiwa kitambii
Baby me I like that
Nakukupamba kwenye simu, video snapchaat.
Kumbe hana maana hadi Mangii anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym, kutafuta six packs

Unaiibiiwa
Unaibiiiwa

Unaibiiwa
Unaibiiwa"
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
Mbn km umeandik upimb zaid mkuu
 
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Un
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.

So go forth and prosper friends!

Hii mbinu naielewa.
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.

Hahahahaha
 
Back
Top Bottom