Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Tatizo so hizo step tatizo jina la huyo mtu unaweza kuta jina zuriiiiiiii ukajua hapa nimepta siku unakuja kujua kumbe mwanaume mwenzio ai mwanamke mwenzio hapo ndo utajua umuhimu wa tako maishan
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.

hahahaha
 
Kuna watu hata uwaombe vipi namba hawatoi..Mungu anawaona
 
It doesnt work that way. Its a long process mpaka kukubaliana kuonana mshafahamiana vizuri. Ukikurupuka ndio mtakimbiana.
Inaanzia kwenye thread>PM>Simu(Wsap)>Picha>Kuonana live>whatever u decide.
Hako ka Lugha kwanza hapo juu itabidi niombe msaada ,
 
Utumwa wa mapenzi huo, kuna watu huwa hawawez hata kumtumia mama yake pesa ila wee kwa madem anafungua benki,
Mpaka hapa nilipo ni mama yangu tu! Ndiyo mwanamke pekee anaeweza niomba hela na niampa bila kujiuliza hawa wengine hawana jipya walishaga tafuna mihela yangu kibao na mpaka sasa sijui walipo hata salamu hakuna kwanini? Niendelee kutumika kwa hasara nilishasema inatosha labda wanipe wao.
 
Back
Top Bottom