MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Ndio ndio nimeanza na gia kubwa kama Mandonga mzee wa mbwembwe ila ulingoni yeye ndio anafilimbwa.
Hakuna Muungano wa hivyo duniani kama huu uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ile ambayo iliendelea kuilea Zanzibar na kuiua Tanganyika,
Ule Muungano uliozaa Tanzania bara na Tanzania visiwani ilihali Ukerewe na Mafia ni visiwe vile vile.
Yaani ni Muungano ambao umempaisha Mzanzibari na kumtweza Mtanganyika wangali katika Taifa Moja.
Muungano ulioundwa kutokana na vita baridi kat ya Wabepari na Wakomunisti ivyo haukuwa na tija kwa raia.
Ni Muungano uliokuja kumnyima fursa Mtanganyika ila ukampa neema Mzanzibari Wacha nichambue masela wangu:
(1) Nafasi za ajira kwenye serikari ya Zanzibar.
Wanangu hapo kitaa hata ubukue vipi Mwana kama wewe sio Mzanzibari huwezi pata ajira kwenye serikari yao wenyewe wanaita SMZ.
Haijalishi ni kipanga kiasi gani ila chogo hawakupi ajira.
(2)BODI YA MIKOPO YA ZANZIBAR
Wanangu eeeeh hawajamaa tunabananisha nao kwenye mikopo ya HESLB ila wenyewe Wana mikopo yao, wewe Mnyamwezi huwezi kupata hata ufanyeje
(3)ASILIMIA 21% YA NAFASI ZA AJIRA KWENYE SERIKARI YA MUUNGANO INAKWENDA ZANZIBAR.
Unashangaa nini mazee, hawa jamaa Wana uhakika Wana nafasi ya asilimia 21 wanazogombania wao kwa wao halafu bado sheria haikatazi wao kuja changanyikeni kupora na zilizobakia.
Kumbuka idadi Yao ni kama Milioni Moja.
(4)KODI ZAO ZIPO CHINI
Kumbuka ni Tanganyika pekee Wana ndio mnalipa Kodi kwa viwango vya juu.
Ila kule Wana kila kitu bei Chee hivyo usishangae ukidandia meli na kukuta kitu Cha laki dala kukuta kule laki 2.
Hapa ndio unapata kizaizai kwamba wananzengo huku bara mafuta ya petrol na diesel yalikuwa bei juu kulinganisha na Zanzibar.
(5)MAJI NA UMEME
Usitoe macho wakati Wana wa kiabakari wakihenya kulipa umeme kutokana na Kodi kubwa zilizoongezwa, kule Mwana ni mwa mwa chelea Pina, mpaka Kuna kipindi Magu akataka kuwakatia umeme, kifupi Yale madeni tunabeba sisi Watanganyika.
(6)CHA KWAO CHA KWAO, CHA KWETU CHAO.
Sijui niluke na neno gani hapa machizi, ila kifupi vitu wanavyojua vitawafaidisha wao, basi hawatotaka Watanganyika mutie mkono.
(7)MGOGORO NA KATIBA
Wao wanajisemea kwamba ni nchi,ba kwani Kuna nchi mbili? ila kiukweli jamaa huwaelezi kitu huku Katiba ya Jamhuri inatambua Kuna nchi Moja.
(8)SHERIA ZETU KULE AZITUMIKI MPAKA ZIPITISHWE NA WAWAKILISHI.
Msishangae na mumshukuru Warioba kwa kuja na mapendekezo ya serikari tatu maana ameuona ukeli ambao Wana wanga akili kisoda hawauoni.
Kama Taifa Moja kwa nini? hili lipo.
(9)UANZISHWAJI WA MAJESHI NDANI YA ZANZIBAR.
Haya majeshi yameanzishwa kimkakati wakati wanapotaka kujitegemea basi ndiyo yatakuwa majeshi ya nchi.
KMKM
JESHI LA KUJENGA UCHUMI.
(10)HAWACHANGII KWENYE PATO GHAFI LA PAMOJA HALAFU ZIKITOKA PESA TUGAWANE KWA USAWA.
Hii nimeisanukia sio mida mrefu, kifupi hawa jamaa mara ya mwisho kuchangia ilikuwa mwaka 1963, nasikia wao wamewaachia Watanganyika, eti mzigo mzito kudadeki walah............hiiiiii in magufuli voice.
Kifupi huu Muungano uliopo sasa hivi unawafaidisha upande mmoja zaidi kwa jasho na damu ya upande mwingine.
Hivyo maoni yangu Maoni ya Warioba yazingatiwe na tuyaboreshe yaendane na Sasa, huku tukitoa sintofahamu ya masuala ya Kodi.

Upvote
4