Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Inawezekana lakini sio rahisi kihivyo
Kuna mtu apo juu kadai sjui alianza na karanga now anamajumba na magari kaulizwa kawezaje kakimbia uzi
Utajiri unapande tajiri anakupa upande mmoja upande wa pili unautafta mwwnyewe
 
Mimi nilifika hapa nilipo baada ya kujituma kwelikweli ktk kitengo changu cha kuosha magari ya wazungu wa kampuni flani hivi kubwa,mwisho wa siku wakaniamini kupindukia...ndipo kupitia mwanya huo nikawapiga parefu nakujikuta nimetoka kimaisha...chaajabu baada ya kugundua kama nimewapiga na kuwekeza sehemu,walinipa full support kuhakikisha natimiza kile nilichokua nimekikusudia. Mpaka leo namimi nimewaajili vijana wenzangu walau kugawana riziki
Mkuu mie naamini sana wa waliofanikiwa kujituma kw bidii..pls share nasi umefikaje hpo
 
Kuna Dada mmoja Msabato alisikia biashar ya Unga unawatoa watu. Nae akaanzisha Duka la unga wa Nafaka, hakujua Unga uliokua unasemwa ni Madawa ya kulevya. Alishangaa muda ulipita na biashara inampa tu hasara.
 
Ukitaka kujua kwa nini watanzania na waafrika ni masikini soma comment za humu, ujinga ni mzigo kwenye jamii zetu utajiri na biashara ni formula tu haijalishi umeanza wapi
 
Hata Kama alitoka katika familia ya kitajiri je wangapi wemeweza kutunza na kuendekeza kile walichoachiwa na familia zao tajiri...wengi wameteketeza hizo Mali na pesa. Laki moja Ni ndogo Kama huna plan ya matumizi ya iyo laki moja. Dangote ameweza kukuza mtaji aliochiwa mpaka Sasa Ni richest man in Africa. Donald trump pia aliachiwa urithi wa bilioni moja za kitanzia lakini ameweza kutuliza akili na kucha ku overspend badala yake saivi Ni richest in America. Ni kua na plan na nidhamu ya pesa Kama huna hataungeachiwa trilioni Ni kazi bure...
 

Hizo ndo akili za maisha...ngoja tupambane tu
 
Na hilo ndilo wanaloshindwa elewa wengine kuwa mzazi wako anaweza kukuachia mali na bado ukawa masikini tu kama huna mipango stahiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…