Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mie naamini sana wa waliofanikiwa kujituma kw bidii..pls share nasi umefikaje hpo
ngoja mkuu wa malaika akusikie atakushukia ulipo
Kuna Dada mmoja Msabato alisikia biashar ya Unga unawatoa watu. Nae akaanzisha Duka la unga wa Nafaka, hakujua Unga uliokua unasemwa ni Madawa ya kulevya. Alishangaa muda ulipita na biashara inampa tu hasara.Fanya wewe kama wewe sio kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki sijui maisha ni polepole,sijui kidogo ndio kingi..n.k?
Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote, Sanusi Dantata. Alikuwa mmoja wa matajiri zaidi nchini Nigeria, katika miaka ya 70.
Pia Baba wa Dangote pia alikuwa tajiri barani Afrika mnamo 1955
Aliko Dangote alizaliwa katika familia ya bilionea, usiruhusu msemaji yeyote wa motisha akuue. Unajaribu wewe sio kudanganyika na hao.View attachment 1226392
Hata Kama alitoka katika familia ya kitajiri je wangapi wemeweza kutunza na kuendekeza kile walichoachiwa na familia zao tajiri...wengi wameteketeza hizo Mali na pesa. Laki moja Ni ndogo Kama huna plan ya matumizi ya iyo laki moja. Dangote ameweza kukuza mtaji aliochiwa mpaka Sasa Ni richest man in Africa. Donald trump pia aliachiwa urithi wa bilioni moja za kitanzia lakini ameweza kutuliza akili na kucha ku overspend badala yake saivi Ni richest in America. Ni kua na plan na nidhamu ya pesa Kama huna hataungeachiwa trilioni Ni kazi bure...Fanya wewe kama wewe sio kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki sijui maisha ni polepole,sijui kidogo ndio kingi..n.k?
Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote, Sanusi Dantata. Alikuwa mmoja wa matajiri zaidi nchini Nigeria, katika miaka ya 70.
Pia Baba wa Dangote pia alikuwa tajiri barani Afrika mnamo 1955
Aliko Dangote alizaliwa katika familia ya bilionea, usiruhusu msemaji yeyote wa motisha akuue. Unajaribu wewe sio kudanganyika na hao.View attachment 1226392
Mimi nilifika hapa nilipo baada ya kujituma kwelikweli ktk kitengo changu cha kuosha magari ya wazungu wa kampuni flani hivi kubwa,mwisho wa siku wakaniamini kupindukia...ndipo kupitia mwanya huo nikawapiga parefu nakujikuta nimetoka kimaisha...chaajabu baada ya kugundua kama nimewapiga na kuwekeza sehemu,walinipa full support kuhakikisha natimiza kile nilichokua nimekikusudia. Mpaka leo namimi nimewaajili vijana wenzangu walau kugawana riziki
Na hilo ndilo wanaloshindwa elewa wengine kuwa mzazi wako anaweza kukuachia mali na bado ukawa masikini tu kama huna mipango stahikiHata Kama alitoka katika familia ya kitajiri je wangapi wemeweza kutunza na kuendekeza kile walichoachiwa na familia zao tajiri...wengi wameteketeza hizo Mali na pesa. Laki moja Ni ndogo Kama huna plan ya matumizi ya iyo laki moja. Dangote ameweza kukuza mtaji aliochiwa mpaka Sasa Ni richest man in Africa. Donald trump pia aliachiwa urithi wa bilioni moja za kitanzia lakini ameweza kutuliza akili na kucha ku overspend badala yake saivi Ni richest in America. Ni kua na plan na nidhamu ya pesa Kama huna hataungeachiwa trilioni Ni kazi bure...