Nenda kwny Website ya TRA kuna Calculator Yao ukiingia utajaza Particulars za gari husika Kama vile aina ya gari, Mwaka iliotengenezwa, CC zake, Nchi iliyo tengenezwa then Ina calculate automatic na kukupa total figure in Tshs.
Mbali ya figure hiyo ongeza Kama dola 150 kwa maana ya Agency fee na Storage Bandari ambazo haizidi laki 3!